Search results

  1. Meeting

    The Novel Titled Animal Farm

    Things fall apart
  2. Meeting

    The Novel Titled Animal Farm

    Nahitaji a man of the people by ngugi
  3. Meeting

    Msaada audio books

    Habari za mida hii. Naomba msaada wa vitabu vya a level audio books vya novels na plays. Naomba kuwasilisha. Ikishindana hata vya kawaida nikipata kwa pdf nitashukuru pia.
  4. Meeting

    Awamu ya pili: Orodha ya wanafunzi waliochaguliwa vyuo mbalimbali nchini 2016/17

    Angalia kwenye vyuo ulivyo omba pitia kimoja hadi kingine.
  5. Meeting

    Ahadi hewa ya ajira

    Wacha episode iendeleee
  6. Meeting

    Wanafunzi wa Stashahda ya ualimu masomo ya Sayansi, Hesabu na Teknolojia UDOM warudishwa nyumbani

    Lazima tuangalie hili swala kwa makini kama hawa wanarudishwa nyumbani basi wanafunzi wa advance warud kwao na kusiwe na advance hadi matokeo ya ndalichako yatoke.
  7. Meeting

    Wanafunzi wa Stashahda ya ualimu masomo ya Sayansi, Hesabu na Teknolojia UDOM warudishwa nyumbani

    Tatizo ni nn kaka maana mm sijaona sababu ya nyinyi kurudi nyumbani.
  8. Meeting

    Wanafunzi wa Stashahda ya ualimu masomo ya Sayansi, Hesabu na Teknolojia UDOM warudishwa nyumbani

    Sasa kwani alienda pale udom alikuwa na div four mbona mambo mengine ni ya ajabu sana vijana wameamua wasiende advance ili waende chuo leo hii wanarudishwa. Mm nadhani waziri wa elimu alitolee maelezo kwanini wanafunzi wanarudishwa nyumbani.
  9. Meeting

    Msaada: Naomba kujuzwa sifa za kujiunga ualimu ngazi ya cheti

    Anasoma kozi yoyote ila ata anza kwa cheti
  10. Meeting

    Walimu igeni haya kutoka kwa madaktari

    Tuna misingi mibovu ya Elimu hiyo lugha haimaanishi kwamba walimu hawaimudu tatizo lipo kwa wanafunzi asilimia kubwa ya wanafunzi kwa kweli kingereza ni shida na si tu speaking skills hata skills nyingine mfano listening, writing na reading bado ni tatizo kufaulu kwa mtoto si kuongea kingereza...
  11. Meeting

    Walimu wakumbukwe

    Wanapewa na weng ndio walio foj vyet kwenye ualimu bado hawaja pitia
  12. Meeting

    Walimu wakumbukwe

    Mshahara hata ukibak pale sio mbays lakini kuwepo na teaching and house allowance
  13. Meeting

    Walimu wakumbukwe

    Sasa tupo chini ya waziri mkuu ofis ya rais natumai masilahi yataongezeka nina iman kubwa kwa mwaka 2016
  14. Meeting

    Mada maalumu: Mchakato Bodi ya Mikopo 2015/16 (Vigezo na ujazaji fomu)

    unatakiwa ujaze continous student form online ni muhimu sana, bila hivyo utakuwa outdated kuna mtu nilimaliza nae chuo pale saut moro jina lake halikuja kwa mwaka wa pili kisa haku update mkopo, jamaa hakupata tena hadi tuna maliza chuo.
Back
Top Bottom