Huku kweli ni full kukurupuka....!!
Kikwetu tunasema ngoma ya mkubwa ikilia kila mtu anacheza, hata kama ni ya kipumbavu....!!
Sasa, hata style ya kucheza je ni lazima iwe ya kipumbavu...??
Umenichekesha kweli na ujinga wako uliopitiliza.........! Haki unaijua wewe kweli......? Haki ipi unayoizungumza......CCM kweli this time wamekalia kigogo.....unakurupuka kuzungumzia makubaliano ambayo hujui yamefikiwaje...!
Ni jambo la kusikitisha mzee kufanya mambo ya kijinga na kujificha kwenye kichaka cha ulevi....
Ni vizuri jambo hilo kulipeleka kwa wakubwa zake waliopo na kuwaeleza kuwa wewe binafsi huridhishwi na kauli hizo kwa vile zina lengo la kudhoofisha familia.....hasa kumtukanisha mama yenu.... na pia...
Ukifuatilia yaliyojiri Nigeria kama kumbukumbu zangu ziko sawa...baada ya uchaguzi miaka ya mwanzoni mwa 80, kuna Chief Awolowo alishindwa na kukata rufani kuwa Obasanjo alimpendelea Shehu Shagari.....!
Moja ya ushahidi waliotumia ni kutafutwa kura aliyopiga Obasanjo na ilipopatikana ilionesha...
Unazibwa kweli ww.....unawekaje maneno ambayo mwenye mada hakuweka.....soma post yake ya kwanza vizuri ndio uendelee kutukana k##@@##....!!! Kila kitu kukashifu vya kwenu......hata kwenye uongo mnakashifu tu....pumbavu wa fikra......! Omba uraia wa huko Burundi basi uhamie huko......kisa mhudumu...
Pumbavu...! Watu kama nyie ndio mnaenda ubalozini eti kujitambulisha kwa balozi huku mjjinga kiasi hiki...! Ndio maana huyo mwenzio alionekana mjinga......! Nenda ubalozini kwa heshima na issue muhimu....sio kujipitisha hovyo...unafikiri ubalozi ni kijiwe cha kahawa....
Sio kweli kusema ni balozi zote ziko hivyo na watu wote wanafanyiwa hivyo.....mbona balozi nyingi watu tumeenda na hatujiani na mtu na unafanya mambo yako vizuri...! Kwenda kujitambulisha eti mpaka balozi akuone na huna issue yeyote ya maana ni kung'ang'ania mambo yasiyo na msingi.....
Sample ya tukio moja la mtu mmoja haliwezi kuhalalisha shutuma zote hizi....!
Pili, wakati mwingine tukubali ofisi sio kituo cha basi.....kwamba unafika na kupanda tu...ndio maana hata hizo balozi mbali mbali ni budi kuweka miadi....nyingine kama huna miadi hupokelewi labda iwe emergency...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.