Search results

  1. Akagando

    Msaada huawei Y550 L02 imegoma kuwaka baada ya kufanya rooting

    Wakuu kuna simu yangu imegoma kuwaka baada ya kufanya rooting,ikiwaka aifanyi chochote. niliiroot kwakutumia kingroot,baada ya kuroot nikadownload ifont na kuinstall baada ya kuinstall nakajaribu kutafuta font niipendayo ikaniambia ni reboot ili kubadilisha system font nikaruhusu iriboot baada...
  2. Akagando

    Msaada jinsi ya kufuta window

    wanajamvi naomba msaada wa kufuta window katika PC yangu kwani kuna mtu ameinstall bila kufomat
  3. Akagando

    Tatizo la circle cell limealibu penzi langu,msaada zaidi wa kimawazo!

    Nilikuwa na Mpenzi ambaye tumekutana katika Somo lakini Mpenzi huyu anakuwa akijishitukia mara kwa mara kwa kuniambia hapendi kuumizwa kwa sababu alishakuwa na mpenzi ambaye alimtenda lakini nimejaribu kuulizia kwa Wenzangu wanao mfahamu wanadai ana ugojwa wa Sickle Cell ndio maana hapendi kuwa...
  4. Akagando

    Iko wapi furaha Jamani?

    Habari za Asubuhi wanaJF.nimekuwa katika swali kila siku kwamba Furaha zaidi upatikana ukiwa Singleau ukiwa kwenye inrelationship.Jamani wanaJF Msaada zaidi kwa hili?
  5. Akagando

    Mnyama hatari....!

    Wana JF wa jukwaa la Jokes and Udaku mpo kama mpo soma hapa urifresh you mind. Siku moja kichaa fulani wa pande za manzese aliamua kufunga safari akaangalie kaburi la Mwalimu Nyerere butiama alipitia njia ya barabara lipitialo Serengeti,alitembea mwendo mrefu hivyo ikambidi apumzike porini...
Back
Top Bottom