Search results

  1. M

    ZIFAHAMU SEHEMU KUU 8 ZENYE MSISIMKO wakati wa MAUJANJAAAA

    Hili nalo neno, mwanaume hujui mwanamke kaamkaje wala kashindaje, hujui ana shida gani binafsi, hujui ana furaha au hana, huna msaada nae hata akikueleza shida zake, mbaya zaidi uwezo wa kumsaidia unao sana tu! unategemea mkikutana atakuwa na mahanjam kweli! atajihisi mnyonge, atahisi anatumiwa...
  2. M

    Mtoto aliyekataliwa na baba yake

    Hapo ndipo wanaponiacha hoi mababa wa dunia hii. Hakika dada wewe umefanya jambo kubwa sana ambalo wengi linawashinda. Kuna rafiki yangu mmoja kazaa na jamaa, mtoto copy ya jamaa, ukimuona huulizi, jamaa kanogowa penzi jipya jingine "hamtaki mtoto". Ikatokea mpaka madada wa huyo bwana...
  3. M

    50 People Who Are Screwing Up Tanzania

    Mustafa Mkulo kiboko, yaani huyu pamoja na kuwajibishwa bado maisha yake ni ya juu balaa, Ana mtoto wa kiume kaoa hana kazi wala biashara, ila yuko juu kimaisha, anabadilisha magari tu. Ana mtoto mwingine binti mjinga mjinga mmoja hivi, kwa jinsi mahela ya wizi yalivyomchanganya mpaka kaacha...
  4. M

    Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

    Nyie ndo wale wanaume, unakwenda kwa nyumbani kwa mwanamke, maji ya kunywa bure, juice bure, chakula bure, unachafu shuka na choo bure, nyapu bure tena kwa jinsi utakavyo, lol! hata aibu hamna! jibaraguze basi siku moja moja upite hata supermarket ubebe hata maziwa ya kutengenezewa chai...
  5. M

    Tanzania tuna medali ngapi olimpiki mpaka sasa?

    Tutawapokea na medali za ngono za kufanyia ugenini. Viongozi wote wameenda na wake zao wengine vimada zao. Ni nini sasa kama siyo kuleta medali za ngono? Wapo hapa London wanatalii tu, wana kazi za kualikwa majumbani kwa watu tu kupata futari na mengineyo. Wengine sijui ndo wamekuja...
  6. M

    ITV kuomba radhi kwa kuonyesha habari ya Mama aliyenyangwanya Mtoto wake ni haki?

    Niliguswa sana na suala la yule dada, hivi limeishia wapi? au ndo wahindi wametembeza rupia mahakamani mpaka wa waandishi wa habari waliolivalia njuga suala hili! Wako wapi wanaharakati? au wao wanashughulikia masuala ya kina Ulimboka tu (siasaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa) Wanaume watu wabaya sana...
  7. M

    Ndoto za Olimpiki Tanzania imezimwa, tunahitaji mabadiliko ya haraka kwenye uongozi wa michezo….

    Si Bayi peke yake alienda na mkewe kufufua ndoa yao, viongozi wote walioenda na timu wamebeba wake zao, akiwemo mkuu wa msafara nae kabeba kimada wake, hii ndo nchi yetu
  8. M

    Ni mchakato gani unatumika wa kuwapata washiriki wa Olympic hasa hii ya London??

    Timu ya Tanzania iliondoka ikiwa na jumla ya wachezaji 6, makocha 3, mkuu wa msafara 1 = watu 10. haitoshi, viongozi wengine nao wa toc wamekwenda kujumuika na timu huko kama sikosei viongozi wa4 hivi, akiwemo na mwenyewe Filbert Bayi, sasa hapo uwiano uko wapi? Ukiwauliza kwa tumekuwa na...
  9. M

    Wanawake: Mume ghafla anaanza kukosoa chakula chako………!

    Ukiona hivyo ujue keshaanza kuvuliwa soksi na nyumba ndogo, then anaulizwa utakula "ubwabwa na khukhu?", ikifika hapo lazima ataona chakula cha nyumba kubwa hakina radha, tee tee tee napita tu jamani
  10. M

    Matayarisho ya LONDON OLYMPIC 2012, Watanzania wako wapi????

    Mama Mdogo, wala usiumize kichwa chako kuwafikiri hao watalii wetu. Wapo wanatalii tu huku, nimewaona juzi kati na matraksuit yao, mkuu wa msafara na makocha wameanza kutoka vitambi kwa hela zenu WADANGANYIKA. Tanzania zaidi ya uijuavyo
  11. M

    Kufanya mapenzi kwenye gari, sehemu za wazi kama barabarani, etc ni kwanini, nini raha yake?

    Love is anywhere, haijalishi mko kwenye ndoa, wachumba au wezi wa mapenzi, as long as you are in love, muhimu msichafue hali ya hewa, kwa maana msiwasumbue watu wengine katika action zenu, kwa maana nyingine muwe kwenye privacy. Hata mume na mke kwa kutaka privacy mkiwa home, mnaweza...
  12. M

    Labda mi ndo sielewi, nisaidieni...

    kwa suala la usalama garini nakubalina nae kabisa, na hasa unapokuwa na mtoto mdogo. Nachukua nafasi hii kwa wazazi kuzingatia suala la usalama garini, utakuta mtu kapakata mtoto na anaendesha nae gari, tena barabar kubwa kabisa. Au mtoto amekaa kiti cha mbele, hajafungwa mkanda, mara asimame...
  13. M

    Lipi hupendi mpenzi wako afanye ... ? Mimi ni hili .. we je?

    Sipendi, sipendi, sipendi, sipendi, sipendi, sipendi, sipendi WANAUME! MWANAUME WASIOJALI HISIA ZA MWENZI WAKE, MWANAMME KATILI, MWANAMME MNYANYASAJI, MWANAUME ASIEJUA KUPENDA, MWANAUME MARIOOOO, MWANAUME ANAEMNYIMA HAKI YAKE MWENZI WAKE, MWANAUME MWENYE WANAWAKE WENGI KWA WAKATI MMOJA...
  14. M

    Mmmh wanaume mtatuua mwaka huu katika mapenz

    mayb ni woga kwel coz i luv him xo much.alaf imetokea sudenly ckuwah kuona dalil yoyote ya kuchokwa Bora mie nilisoma mapema alama za nyakati...........................
  15. M

    Mmmh wanaume mtatuua mwaka huu katika mapenz

    mayb ni woga kwel coz i luv him xo much.alaf imetokea sudenly ckuwah kuona dalil yoyote ya kuchokwa Bora mie nilisoma mapema alama za nyakati...........................
  16. M

    Mwanamke na kufika kileleni

    hicho sio kilele ndugu yangu, hiyo ni hali ya kuwa tayari kwa kuupokea udude..................... na hasa wa umpendae,
  17. M

    Askari waliomteka Ulimboka ni wazalendo wa kweli

    Kipo kitu nyuma ya pazia, ngoja tuendelee kuona movie hii itaishia wapi
  18. M

    Askari waliomteka Ulimboka ni wazalendo wa kweli

    Siwezi kukubali propaganda hizi. Yaani serikali iamue haswa kumteka na kumuua Ulimboka ndo ifanye madudu hayo, kama ingekua ni serikali mambo haya yangekuwa kimyakimya. Mimi nahisi ni wenyewe kwa wenyewe hawa, walihisi Ulimboka anawageuka kwa kuisikiliza Serikali, ndo hasira zao wakafanya hiyo...
  19. M

    Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana...

    Sitaki kuamini kama Serikali inaweza ikawa imecheza mchezo huu. Nijuavyo kama Serikali ingetaka kumuua Ulimboka ingemuua kwa njia ambazo hakuna kati yetu ambaye angeweza kuifikiria kuwa Serikali imemuua Ulimboka. Hao watakuwa ni miongoni mwa wenyewe kwa wenyewe. Maana tayari inasemeka kuna...
  20. M

    My wife ameniruhusu kuongeza mke wa2,ushauri pls!

    Ushauri wangu ni kwamba, sihitaji sababu ya wewe kutaka kuoa mke wa pili, kwa sababu hata usipotangaza kuoa, bado utaendelea kufanya uzinifu {kuwa na mahawala}. Nakushauri kuwa utimize misingi ya ndoa. Usitake kuoa kwa kuangalia position aliyonayo huyo mchumba, maana wanaume wengi wanapenda...
Back
Top Bottom