Search results

  1. M

    Vya Bure Vinauaa

    Iyo kali nimeipenda.
  2. M

    Mkutano wa CHADEMA kurushwa Live na ITV siku ya Jumamosi, Jangwani

    Ni lazima kieleweke hakuna kulala,wenye magamba wote mnakalibishwa lazima ya vuliwe(njoni kwangu ninyi nyote msumbukao na kuelemewa na mizigo mizito ya dhambi za ufisadi nami nitawapumuzisha.)ila lazima zitolewe kwanza ndipo pumziko linafwata.
  3. M

    Wassira azomewa vibaya mkutanoni na kuondolewa chini ya ulinzi mkali wa Polisi!

    Umefika wakati wa viongozi wote wanaoshikilia itikadi za chama tawala kama wasira kukaa pembeni tumewachoka,hongereni wananchi mwendo huohuo msirudi nyuma.
  4. M

    PICHA; Shamrashamra baada ya hukumu ya JJ Mnyika!

    Hongera kamanda tuko pamoja.
  5. M

    Hodi! Hodi! Wana-JF

    Nipo hapa nikiamini ndipo mahali sahihi pa kuleta mabadiliko ya kweli ya mtanzania,naomba ushilikiano wenu.
  6. M

    Hodi! Hodi! Wana-JF

    Nipo hapa nikiamini ndipo mahali sahihi pa kuleta mabadiliko ya kweli ya mtanzania.
Back
Top Bottom