Search results

  1. P

    MISS CHICHAT DECEMBE 2012:Hatua ya kwanza,pendekeza/tupia jina nani kuwania taji

    Aisee me naomba mumuongeze na Lara 1 hapo...mbona mmemsahau?
  2. P

    Ni kitu gani ulifanya utotoni hutakaje ukisahau?

    Me sitasahau siku 1 nikiwa darasa la kwanza nikaamka asubuhi kumuomba hela mshua ili nika2mie xcul, akanitosa siku hiyo, basi nikaweka mgomo wa kwenda shule siku hiyo na nikaanza kumfuatilia kwa nyuma kila mahali alipoenda siku hiyo hadi jioni, aliporudi alinikamata na nikachezea kichapo heavy...
  3. P

    Msaada Tafadhali Wadau!!!

    Nimenunua memory card mpya ya ukubwa wa 4 GB but kila nikitaka kuingiza nyimbo kwa kutumia computer inashindikana na napata ujumbe huu, "THE DISK IS WRITE-PROTECTED, REMOVE THE WRITE-PROTECTION OR USE ANOTHER DISK" Je nitawezaje kuondoa hiyo "WRITE-PROTECTION" ili niweze kuingia nyimbo na vi2...
  4. P

    Msaada kwa anaejua kuhusu minjingu mines & fertilizer ltd

    Thanx kwa kunipa hii info mkuu...be blessed.
  5. P

    Msaada kwa anaejua kuhusu minjingu mines & fertilizer ltd

    Wadau mbona kimya, it means hakuna yeyote anaewajua hawa jamaa japo kidogo? I'm still waiting 4 ur replies guyz...
  6. P

    Msaada kwa anaejua kuhusu minjingu mines & fertilizer ltd

    Naomba kujua hawa jamaa wanalipaje kwa Bachelor holder pamoja na marupurupu mengine, pia kama una information zao zaidi unaweza nipa. Naomba kuwasilisha.
  7. P

    Msaada wadau!!

    Najiamini tena sana 2 sema masharti yao yamenichanganya kidogo...all in all thanx 4 ur concern mkuu!!
  8. P

    Christian magige-mbunge wa musoma vijijin-2015

    Cjaona umuhimu wa kuiandika hii thread huku, nadhani ungeiandika/ungeipeleka kwenye jukwaa la siasa ingependeza zaidi!!
  9. P

    Msaada wadau!!

    Asante mkuu but wasiwasi wangu ni kuwa inawezekana hawataki kabisa kuona transcripts so once nikaambatanisha vyote viwili (Cheti na transcript) inaweza pelekea maombi kuwekwa kapuni...hebu funguka zaidi hapo mkuu!!
  10. P

    Msaada wadau!!

    1. kuna post za serikalini kama za Tutorial Assistants vigezo uwe na GPA kuanzia 3.8 so ukiweka cheti 2 cha chuo ambacho kinaonyesha class tu watajuaje kuwa ume-meet vigezo? 2. Kwa mfano nikaambatanisha vyote (Cheti na Transcript) kutakuwa na tatizo kweli hapo wadau...!? NAOMBA MNIJUZE...
  11. P

    Transcripts are not allowed!!

    MSAADA: 1. kuna post kama za Tutorial Assistants vigezo uwe na GPA kuanzia 3.8 so ukiweka cheti 2 cha chuo ambacho kinaonyesha class/grade tu watajuaje kuwa ume-meet vigezo? 2. Kwa mfano nikaambatanisha vyote (Cheti na Trancript) kutakuwa na tatizo kweli hapo wadau...!? NAOMBA MNIJUZE...
  12. P

    Hello JF memberz!!

    Napenda kuwapa hi JF memberz wote!! Regards, Prince.
  13. P

    Salamu

    Asante sana mkuu.
  14. P

    Salamu

    Ok mkuu, nimejaribu kupitia japo kwa haraka forums zote za JF bt kwa leo nikawa interested na humu kwa kuwa nipo katika mchakato wa kutafuta kazi.
  15. P

    Salamu

    Napenda kuwapa hi JF memberz wote!! Regards, Prince.
Back
Top Bottom