Search results

  1. B

    Kinana kugombea ubunge Arusha mjini

    kinana ni hewa mwanzo mwisho.
  2. B

    Ofisi ya CHADEMA mkoa wa Arusha yachomwa moto

    I believe chaddema ni mpango wa MUNGU, na Bwana ndie mchungaji wetu....................hatutaogopa mabaya.........................nami ntakaa nyumbani mwa bwana milele amen.
  3. B

    Kesi inayomkabili Mbunge Godbless Lema kusikilizwa mfululizo. Tundu Lisu ndani ya nyumba

    magamba wapi? =chini, chini, chini, chini sana. LEMA wapi=juuu, juuu, juuu sana. Peoplezzzzzzzzzzzzzzzzz!!!!!.
  4. B

    CHADEMA yazidi kumeguka...!

    mdogo wangu shoza nakushauri tu! Usikubali kuketi barazani pa wenye mizaa ili upatte heri zake MUNGU. Am ant u shoza.
  5. B

    CHADEMA yazidi kumeguka...!

    kufa kwa imam sio mwisho wa ibada. Kuhama kwa huyo sio mwisho wa ukombozi! Ww unafikiri sasa akihama MBOWE au SLAA hatutaendelea na ukombozi? u have pesa! but we have MUNGU.
  6. B

    Barua ya Wazi kwa Rais Kikwete toka Cuba

    mtu yeyote anaepinga hoja za hao ndugu zetu cuba ni maccm tu mana Si ndo kombora limewanyookea wao? Poleni sana wanafunzi, ndugu zangu huko cuba na majanga yalopitiliza Lakini nchi yenu inakwenda kupata uhuru 2015. So yatapungua Kama sio kuisha na hata Kama sio kwenu kwa wadogo zenu.
  7. B

    KINANA: Sina nywele kichwani kwa sababu ya kufikiria matatizo ya Watanzania

    kinana ndo sera zako za sasa co? Hapa Kweli simba Kazidiwa.
  8. B

    Katiba Mpya,Wana CCM wengi wanahitaji kufanyiwa "Tohara"ya namna hii!

    Sana Lakini CCM hata wakitairiwa ndimi zao hawataeza tena kuwatumikia watanzania Asee!
  9. B

    CHADEMA Kusambaratika kama NCCR-Mageuzi siku si nyingi

    Tatizo lenu CCM ndo hilo eti siku zote mana mnajikaanga na mafta yenu nakila mnaloongea ninyi ni busara sana mnapoongea lakli hizo ndizo zinazowafuna.
  10. B

    Ridhiwan Kikwete atahutubia mkutano mkubwa wa hadhara katika Jimbo la Chwaka wilaya ya kati Unguja

    Jamani tusomeni alama za nyakati wanachaddema Huyu! Naamini kila mkutano mmoja wa CCM ni Sawa na kupiga chepe 1 ktk mchakato wa kuzika CCM, nani asiyejua CCM wanajikaanga na mafuta yao? Keep on zimwiwani KIKWETE kada mkubwa wa CCM na mjumbe wa kamati kuu ya CCM
  11. B

    Msekwa: Nashangazwa na muungano wa Mbowe, Lipumba na Mbatia!

    wazee ni hazina! Lakini Si Kama hao kina msekwa! Nasema hivi nikiwa na uhakika kwamba wazee wa aina ya kina msekwa ni hasara jumla.
  12. B

    "Nipo tayari kugombea URAIS endapo wananchi WATANICHAGUA."..Mwigulu Nchemba

    Nenda kajambe unaezaongea kitu chali angu.
  13. B

    Pendekezo: Unaibu Katibu Mkuu CHADEMA apewe Ben Saanane!

    Naunga hoja yako mikono.
  14. B

    Ninalaani kitendo cha baadhi ya nchi za Afrika ikiwemo Tanzania kushinikiza kujitoa ICC

    ni Kweli kuna ukakasi mkubwa tu kwa nchi wanachama wa icc Lakini mimi napendekeza kwa nchi km za Kwe2 ni nafuu tu kua mwachama kwa 7bu italeta woga. kt ya Bwana wakubwa na Bwana wadogo.(kina wao na kina sisi)
  15. B

    Msekwa: Nashangazwa na muungano wa Mbowe, Lipumba na Mbatia!

    eti Kama kesi ya ngedere ipo kwa nyani tutegemee nini?
  16. B

    Tukio la Mlipuko wa Bomu Arusha: Inspector Daudi wa Polisi akamatwa

    MUNGU iponye Africa MUNGU iponye TANZANIA na HIZI SIASA UCHWARA.
  17. B

    Kitabia, huyu Sugu hatuwakilishi watu wa Mbeya , anatutia aibu!!

    Pole sana ni mwana Arusha, Lakini haiitaji shule kujua wewe ni nani! Ua a papet generaly. Sugu keep up mimi nakukubali sana.
  18. B

    Mbowe atolewa nje ya bunge

    samaki ana mengi ya kuongea Lakini ndo ivo ana maji mdomoni! Lakini ipo siku maji yatatoweka ili samaki awezepaza sauti yake! MBOWE keep up!
  19. B

    Mbowe atolewa nje ya bunge

    samaki ana mengi ya kuongea Lakini ndo ivo ana amaji mdomoni! Ila ipo siku maji yataisha ili samaki aweze kuongea! MBOWE keep up!
  20. B

    Dawa ya CHADEMA yapatikana

    Nmemaanisha hayo mkuu moja kwa moja bila kupinda.
Back
Top Bottom