Search results

  1. M

    JK Kwa uteuzi huu tuonee huruma - Ulega Hamis Abdallah DC mpya Kilwa

    Unaweza kujiuliza jambo hili kwa mujibu wa tangazo hapo juu ni kwamba inajulishwa jamii huyu bwana ulega si mfanyakazi tena wa kampuni tajwa sasa kama wana RB yake huyu mtu alikuwa hayupo hapa mjini wakati wote huo au ndio fitna na kama ni kesi na ielezwe hiyo kesi ya tokea 2008 ipo mahakama...
  2. M

    JK Kwa uteuzi huu tuonee huruma - Ulega Hamis Abdallah DC mpya Kilwa

    Sisi watanzania watu wa ajabu sana ni wachache sana wenye mapenzi mema kwa wenzao...sasa kama ulega angekua na kesi mahakamani rais angemteua vipi kuwa mkuu wa wilaya?kwa hali ya kawaida tuu labda niwasaidie wale wasio fahamu na wenye uelewa mdogo kama inavyoonekana kwa mtoa hoja el toro maana...
Back
Top Bottom