Search results

  1. M

    Tanzania ina watawala wenye roho mbaya kuliko shetani. Naomba kila siku lolote baya liwapate

    Mwalimu Nyerere Angekuwa hai Leo ninaamini pengine kwa huu utawala uliopo angekuwa ama Gerezani au Ameuawa kabisa kwa risasi au sumu. Kwa sababu katika vitu ambavyo huyu baba yetu alivipigania ktk uhai wake kwa nguvu zake bila utani au uoga ni haki za watu. Hakuwahi kuogopa kumkosoa au kumkemea...
  2. M

    Wakati wowote kuanzia sasa Watanzania wataanza kufukuzwa Kenya. Mshahara wa dhambi ni mauti

    Kuna Mtu wangu wa karibu anafanya biashara Kenya, yeye ni Mtanzania. Anasema kwa sasa hali siyo shwari kabisa, wanafanya biashara kwa wasi wasi mkubwa wakihofia kuvamiwa na Magenge ya Wahuni, hawa inaonekana Kama ni Magenge ya Wahuni lakini ukweli ni kwamba ni watu walioandaliwa kufanya hayo...
  3. M

    Je, kizazi kilichotokana na Uzao wa Malaika na Binadamu bado kipo Duniani?

    Nauliza kwa sababu ktk hii dunia ya sasa watu tumetofautiana sana kiakili. Kati ya watu Weupe na Watu Weusi. Mfano mzuri ni huu, kwamba, wakati wenzetu wamefikia kiwango cha Kutengeneza vyombo vya kusafiri anga za mbali. Sisi bado hata kutengeneza toothpick hatujaweza. Wakati wenzet...
  4. M

    Nchi ya Ajabu: Nimewaona Wafanyabiashara wa Tanzania wamekuja Kampala kununua Bidhaa za China

    Juzi Alhamisi nimeshuhudia mwenyewe. Mwanzoni nilikuwa siamini nikijua ni siasa tu, nikiwa katikati ya Jiji la Kampala wakati wa lunch time ktk mgahawa mmoja nilikutana na Wafanyabiashara watatu Watanzania. Nilikuwa nimekaa meza ya jirani na wao, niliposikia Kiswahili chao fasaha nikagundua hawa...
  5. M

    CCM isipokuwa makini itasababisha maafa makubwa kuwahi kutokea Tanzania 2020

    Kila mwenye Akili timamu na Mzalendo wa Kweli wa Nchi hii analiona na anajua kitakachotokea 2020,Ni ukweli usio na chembe ya Shaka kuwa kwa Sasa hivi CCM inalitegemea Jeshi la Polisi na Tume ya Uchaguzi kufanya Uharamu ili Waweze kutangazwa Kishetani kwamba ni Washindi ktk sanduku la kura...
  6. M

    Ni Vigumu Sana Kwa Mwanaume Kufanya Mapenzi na Mwanamke Mmoja kila Siku

    Tusidanganyane kabisa, Mwanaume yeyote Ana Tabia ya Kukinai. Na ndoa nyingi sana zimevunjika kwa sababu ya wawili kukinai. Hakuna Jambo gumu Kama Mwanaume kufanya mapenzi na Mwanamke mmoja, Awe wa Ndoa au hata Rafiki. Maana inafika mahali mnakuwa Kama kaka na dada.kila Siku kitanda hicho hicho...
  7. M

    JamiiForums tumesaidia sana nchi hii, zamu yetu Ikulu ni lini ili tutoe ya moyoni?

    Ni ukweli usio na Mashaka kwamba Jamii Forum imekuwa ni msaada mkubwa sana kwa Watawala wa Nchi hii Kuna Wakati J.Kikwete aliwahi kukiri wazi kuwa tumemsaidia sana. Jamii Forum Imesheheni Member wenye kila aina ya ujuzi. Imesaidia kuwaelimisha Watu wengi sana wakiwemo Mawaziri na viongozi...
  8. M

    Je, ni nini kitatokea tukiamua kila mkoa ujitegemee kwa mapato yake?

    Kwa sasa Tanzania kila mkoa una vyanzo vingi sana vya mapato, na kila mkoa unaonekana umesheheni kila aina ya utajiri. Swali ni Je tukiamua kila mkoa ukusanye kodi zake na kufanya matumizi yake kwa maendeleo ya Mkoa husika ni nini kitatokea? Najaribu tu kufikiri, kwa sababu inaonekana Makusanyo...
  9. M

    Herufi R na L ni tatizo kwa Rais wetu, tumsaidie

    Ni dhahiri kabisa hizi herufi mbili za R na L zinamtatiza sana Raisi wetu, Mara nyingi ktk hotuba zake amekuwa akisikika kabisa kuzikosea yaani sehemu ambayo alitakiwa kutamka neno Reli, yeye atasema Leli, tena kwa kujiamini,. Ktk Msamiati wa kiswahili neno Leli Lina maana tofauti kabisa. Ni...
  10. M

    Uchaguzi 2020 CCM imechokwa na Watanzania tuache utani kabisa

    Kama siyo mbinu ya JPM Kupiga Marufuku mikutano ya kisiasa tangu Alipoingia Madarakani, sasa hivi tungekuwa tunaongea mengine kabisa, Nina Imani hata kitendo cha kuvunja katiba ya Nchi makusudi ni baada ya Kuona CCM ilivyozidiwa ktk Kampeni za Uraisi, 2015. Binafsi Mimi siyo mfuasi wa Chama...
  11. M

    2020 Uchumi wetu Tunauzika Rasmi

    Ikiwa 2019 uchumi wetu umeshuka mpaka 4.1 kutoka 7.1 na hakuna njia au mkakati wowote wa Serikali wa makusudi wa kujikwamua ktk hali hii, basi ni wazi kwamba 2020 kuna hatari ya uchumi kushuka mpaka kufikia 1.1 au ikwa ni 0 kabisa Miradi yote inayofanywa na Serkali kwa sasa inahitaji pesa na...
  12. M

    Vitambulisho vya wapiga kura wapya vinatolewa lini?

    Wanajamii naomba kueleweshwa, sasa hivi inaonekana kuna vijana wengi sana ambao tayari wamefikia umri wa kupiga kura Je, vitambulisho vya wapiga kura wapya vinatolewa lini? Kwa sababu kama uchaguzi wa Serikali za mitaa ni October na sasa tunaelekea June. Maana yake tuna miezi mitatu tu ya...
  13. M

    Kweli tabia ya mtu ni kama ngozi yake, ni vigumu kuibadili. Bashiru na Polepole ni mfano hai

    Umaarufu wa Pole pole ulikuja kutokana na umahiri wake kifikra na namna ya ujengaji hoja wake ulivyokuwa makini na ukweli ambao watu wengi sana duniani hupenda kusikia. Hili lilidhihirika wakati wa mchakato wa kuunda katiba mpya na kuanzia hapo ndipo Pole pole alianza kujulikana. Kabla ya hapo...
  14. M

    Malawi na Zambia Wanawake hawana mvuto kabisa

    Nimezunguka sana Nchi nyingi Za Africa , nimegundua kwamba, wanawake wa Malawi na Zambia hawana mvuto kabisa. Hawako romantic kabisa, sijui kwanini. Na sijui ni Mimi tu huwa naionaga hii hali au kuna wengine?
  15. M

    Elimu ya Tanzania haina soko ktk Dunia ya leo kabisa

    Kwa sasa dunia ya wenzetu iko mbele sana kiteknologia hasa ktk viwanda. Na kila nchi sasa hivi inafanya juu chini kuhakikisha wanauza bidhaa zaidi nje ili kuingiza pesa za kigeni kuliko kununua nje. Kwa tanzania ni tofauti kabisa, inaonekana viongozi wetu wameishiwa mbinu au wamepitwa na...
  16. M

    Bernard Membe. Nyota inayong'aa sana sasa hivi. "Kachero Mbobezi

    Hakuna anayeweza kupinga kwa hoja kwamba kwa sasa ndani ya CCM Tishio namba moja kwa JPM ni Kachero Mbobezi Bernard Kamiliusi Membe.. Huyu mtu Sifa zake Zinakaribia kufanana Sana na za Kikwete.Anaonekana ni mtu mwenye busara na Huruma. Na muonekano wake, anaonekana ni mtu mtulivu sana. Smat...
  17. M

    Kitakachomwangusha Rais Magufuli 2020 ni hali ya uchumi. Mwambieni ukweli

    Binafsi naona watu wanazunguka zunguka sana, ila Rafiki wa kweli ni Yule akwambiayae ukweli ili ujirekebishe na ujiokoe. Kuna watu wamemzunguka JPM wakijifanya marafiki na Wapambe, lakini cha ajabu hawataki kumwambia ukweli. Aidha kwa kumuogopa au kwa unafiki. Kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa...
  18. M

    Tanzania ni marufuku mtu yeyote kuwa mkweli, utauawa au kufungwa jela

    Hii nafikiri ndiyo Sera na dira ya maendeleo ya Taifa letu tangu alipofariki Baba wa Taifa, na Nina Imani Baba wa Taifa angekuwa hai mpaka Leo, yangeshampata ya kumpata. Kwa Sababu Yule Mzee Alikuwa Haogopi kitu chochote, Mliokuwepo Enzi za utawala wa Mwinyi mnakumbuka alivyomchachafya, Yule...
  19. M

    Rais Magufuli alipokuwa Wizara ya Ujenzi alifanikiwa na kujijengea sifa na heshima kubwa sana. Kwenye Urais sijui anakwama wapi

    Ni ukweli usiopingika kuwa Raisi wetu wakati akiwa wizara ya ujenzi alitenda kazi kwa weledi mkubwa na speed ya kiwango ambacho hakijawahi kuonekana ktk wizara nyingine yoyote. Hii ilimjengea kuaminika na kupendwa Sana na Wananchi wengi nikiwepo Mimi binafsi. Hii sifa ya kuaminika ndiyo...
  20. M

    Hongera Rais kwa hili la kusitisha ujenzi wa bandari ya Bagamoyo nakuunga mkono 100%

    Wachina wazuri walikuwa wakati ule wa Mao na Nyerere. Wakati huo hali zetu za uchumi zilikuwa zinafanana kwa kiwango kikubwa. Hawa Wachina wa Leo ni Bora Wazungu wa Leo kwa Sababu wazungu wana angalau Roho ya kumwogopa Mungu. Wachina wa Leo hawana tofauti yoyote na wanyang'anyi. Tena hawana...
Back
Top Bottom