Search results

  1. M

    Rais Magufufuli, utatumbua sana lakini unajihujumu wewe mwenyewe

    Hiyo kazi nzuri unayosifia ilitakiwa ionekane ktk maisha ya kila Siku ya Wananchi. Mtoa mada anachosema ni kwamba pamoja na tumbua tumbua zote lakini hali za maisha ya wakulima wafanyakazi Wafanyabiasha ni mbaya sana. Uchumi nao unachungulia shimoni.sasa hicho cha zaidi unachokiona wewe ni nini!!
  2. M

    Sauti inayodaiwa ni ya Membe na Katibu Kata kijiji cha Rondo video clip yao yavuja

    Ni sawa sauti ni ya Kachero Membe kabisa, lakini Mbona sioni baya lolote aliloongea? Kwa sasa kila mtu ameshakichoka hiki chama hata JPM mwenyewe na ndiyo maana anawateua wapinzani kuwapa madaraka anawaacha CCM wenzake.
  3. M

    Tanzania ina watawala wenye roho mbaya kuliko shetani. Naomba kila siku lolote baya liwapate

    Mkuu shangaa, ati mtu unamchangia Yule mwanamke tapeli Wastara pesa ya Matibabu India na hapo hapo unakataa kutoa pesa za kuokoa maisha ya mbunge aliyepigwa risasi 32 na Mungu akamponya, halafu hapo hapo unapinga magoti kanisani ati unamwomba Mungu,huko ni kumtusi. Unafiki umepita vipimo.
  4. M

    CCM kumekucha ! Wabunge zaidi ya 20 waandaliwa kuwatukana Kinana na Makamba

    Ati sasa hivi mmenogewa mnataka kututawala milele, hahahaa, labda huyo Mungu ni Mjomba wenu, Shubamit, tunamwomba Mungu huyo huyo awavunje vipande vipande wauaji wakubwa
  5. M

    CCM kumekucha ! Wabunge zaidi ya 20 waandaliwa kuwatukana Kinana na Makamba

    Sisi Tunaomba Mungu watoane meno Tuanze upya. Haiwezekani Nchi yetu wote halafu mnakula nyie tu, miaka zaidi ya 50 sasa.
  6. M

    Tanzania ina watawala wenye roho mbaya kuliko shetani. Naomba kila siku lolote baya liwapate

    Nakubaliana na wewe kwa baadhi ya mambo mkuu, lakini ukweli ni kwamba mambo mengi mabaya yanayozungumziwa juu ya Mwalimu ni ya kutunga, na pia lazima ukumbuke wakati wa utawala wa Nyerere dunia nzima ilikuwa ni bado sana, elimu walikuwa nayo wachache sana, mitandao haikuwepo kabisa, so ilikuwa...
  7. M

    Tanzania ina watawala wenye roho mbaya kuliko shetani. Naomba kila siku lolote baya liwapate

    Kweli nimekosea, naomba jina baya la kuwapa. Pls.
  8. M

    Video: Mchungaji Msigwa amchana chana Ally Hapi

    Msigwa anajitambua sana. Hayo anayosema wala siyo kumchanachana.hiyo ni elimu ya Uraia
  9. M

    Tanzania ina watawala wenye roho mbaya kuliko shetani. Naomba kila siku lolote baya liwapate

    Mwalimu Nyerere Angekuwa hai Leo ninaamini pengine kwa huu utawala uliopo angekuwa ama Gerezani au Ameuawa kabisa kwa risasi au sumu. Kwa sababu katika vitu ambavyo huyu baba yetu alivipigania ktk uhai wake kwa nguvu zake bila utani au uoga ni haki za watu. Hakuwahi kuogopa kumkosoa au kumkemea...
  10. M

    Lusinde: Kinana na Nape wakamatwe na kuhojiwa kwa kumwita Rais Mshamba

    Mkuu huyo lusinde si unajua anaongozwa na Tumbo? Yeye yupo kwa ajili ya kutetea Tumbo lake tu, kwa hiyo lazima ajipendekeze sana. Huyu ni mtu wa hovyo sana, sijui inakuwaje watu wenye Akili timamu wanakubali kumchagiua mtu Kama huyu kuwa kiongozi wao!
  11. M

    Ushauri kwa Membe: Kitu pekee cha kuogopa ni uoga wenyewe!

    Umesahau upotevu wa 2.4 trillion
  12. M

    Watanzania waishio au waliofika Japan au wanaowafahamu Wajapan .Naomba kufahamu ABC kuhusu Wajapani

    Ni watu waaminifu sana, na ni watu wema sana, hawajui longo longo, mkishakubaliana mmekubaliana, sio watu wa kugeuka geuka, wengi wao hawajui uongo maana yake ni nini, wao ni zaidi ya walokole japokuwa hawana dini, kazi kwao ndiyo kila kitu. Kwao hakuna jobless.
  13. M

    Kipilimba, Umekubali kuvuliwa nguo?

    Kila mtu mwenye akili Nchi hii anajua kwa sasa Musiba yuko Juu ya Kapilimba, na Kapilimba hawezi kumfanya chochote Musiba, Nchi hii Ina viongozi wawili waandamizi kwa sasa, wa kwanza ni Bashite na wa pili ni Musiba. Huyu Musiba Ana nguvu kubwa, Ana uwezo wa kumzaba hata Waziri mkuu makofi na...
  14. M

    Siku nikiwa Rais wa Tanzania nitafanya zaidi ya Magufuli

    Hahahaa, nitakupa kura ila hayo ni machache ongeza zaidi, mfano, vipi suala la demokrasia, vipi kuhusu haki za binadamu?
  15. M

    Wakati wowote kuanzia sasa Watanzania wataanza kufukuzwa Kenya. Mshahara wa dhambi ni mauti

    Kwani wakati vinaingizwa kulikuwa na adhari yoyote Africa Mashariki juu ya ugonjwa wowote wa Mafua ya Ndege?. Acha kuleta siasa uchwara kwenye mambo ya hatari wewe!
  16. M

    Wakati wowote kuanzia sasa Watanzania wataanza kufukuzwa Kenya. Mshahara wa dhambi ni mauti

    Yeyote anayesababosha au anayeshabikia ugomvi wa aina yoyote Kati ya Kenya na Tanzania.namchukia Kama mjinga na Mpuuzi wa kwanza kuwahi kutokea ktk Nchi hii.
Back
Top Bottom