Search results

  1. C

    Mhasibu msaidizi

    Anatafutwa mtu aliyesomea uhasibu ngazi ya shahada. Awe na ujuzi mzuri wa kutumia tarakilishi (computer) na kama amewahi kutumia ''Finance Solution'' software itakuwa vyema sana. Kazi hii ni kwa ajili ya tawi jipya la wilaya ya Temeke. Hivyo wakazi wa Temeke wanapewa kipaumbele zaidi. Omba...
  2. C

    Wanafunzi wa Kisabato Wafukuzwa TEKU kwa Kukataa Kufanya Mitihani Siku ya Sabato naomba muongozo wa kisheria

    MAMBO YA KUTUNZA SABATO NI MAMBO YA KIZAMANI SANA.....Jumamosi ni siku kama siku nyingine: Mtu mmoja afanya tofauti kati ya siku na siku; mwinginie aona siku zote kuwa sawasawa. Kila mtu na athibitike katika akili zake mwenyewe. Yeye aadhimishaye siku huiadhimisha kwa Bwana" (Warumi 14:5-6a)...
  3. C

    Wanafunzi wa Kisabato Wafukuzwa TEKU kwa Kukataa Kufanya Mitihani Siku ya Sabato naomba muongozo wa kisheria

    2 Wakorintho 3: 12-1612 nasi si kama Musa alivyotia utaji juu ya uso wake, ili kwamba Waisraeli wasitazame sana mwisho wa ile iliyokuwa ikibatilika; 13 ila fikira zao zilitiwa uzito. Kwa maana hata leo hivi, wakati lisomwapo Agano la Kale, utaji uo huo wakaa; yaani, haikufunuliwa kwamba...
  4. C

    Wanafunzi wa Kisabato Wafukuzwa TEKU kwa Kukataa Kufanya Mitihani Siku ya Sabato naomba muongozo wa kisheria

    Luka 16 : 1616.16 "Sheria na maandishi ya manabii vilikuweko mpaka wakati wa Yohane mbatizaji. Tangu hapo, Ufalme wa Mungu unahubiriwa, na kila mmoja anauingia kwa nguvu
  5. C

    Wanafunzi wa Kisabato Wafukuzwa TEKU kwa Kukataa Kufanya Mitihani Siku ya Sabato naomba muongozo wa kisheria

    Wagalatia 3:23-29 Kabla ya kujaliwa imani, Sheria ilitufanya wafungwa mpaka imani hiyo iliyokuwa inakuja ifunuliwe. 24 Basi, hiyo Sheria ilikuwa kama mlezi wetu mpaka alipokuja Kristo, ili kwa njia ya imani, tukubaliwe kuwa waadilifu. 25 Tangu kufika kwa hiyo imani, Sheria si mlezi wetu tena...
  6. C

    Wanafunzi wa Kisabato Wafukuzwa TEKU kwa Kukataa Kufanya Mitihani Siku ya Sabato naomba muongozo wa kisheria

    Kumbukumbu la Torati 5 1 Musa akawaita Israeli wote, akawaambia, Enyi Israeli, zisikieni amri na hukumu ninenazo masikioni mwenu leo, mpate kujifunza na kuangalia kuzitenda. 2 Bwana, Mungu wetu, alifanya agano nasi katika Horebu. 3 Bwana hakufanya agano hili na baba zetu, bali na...
  7. C

    Nafasi ya kazi: Maafisa mikopo

    Asante sana, Mbona tulishawaita kwenye usaili wale waliotimiza vigezo?. Watatu waliajiriwa na walishaanza kazi kitambo ya kutoa mikopo
  8. C

    Nafasi ya kazi: Maafisa mikopo

    Nashukuru wote mlioleta applications zimefika zote nazipitia. Asanteni sana
  9. C

    Nafasi ya kazi: Maafisa mikopo

    NAFASI YA KAZI: MAAFISA MKOPO. Chakarika Credit Facility ni taasisi inayotoa mikopo midogo midogo iliyopo maghorofa ya Urafiki Shekilango mkabala na Royal College inatangaza nafasi ya kazi ya maafisa mikopo. Sifa zinazotakiwa: · Mwombaji awe mwaminifu · Umri usizidi...
  10. C

    Zitto alinikataza nisiwe rafiki wa Saed Kubenea - Asah Mwambene, Mkurugenzi Habari/Maelezo

    Nafikiri Assa Mwambene alitaka kujenga hoja kuwa gazeti la Mwanahalisi lilikuwa na tatizo ndio maana hata Mheshimiwa Mbunge tena wa chama cha upinzani alimtahadharisha. Sasa haya mengine nadhani ni mtindo ule ule wa watanzania kuacha kujadili issue na kuanza kujadili watu. Sioni hata kidogo...
  11. C

    Lowasa asali Nativity Zanzibar kukagua uhai wa makanisa

    Huyo kondoo wa KKKT kageuka nyuma, wa Moravian anaangalia mbele......tuko pamoja Mikela na Sikonge (Milumbani)
  12. C

    mashamba yanauzwa maeneo ya Mwale Masaki

    Masaki ni umbali gani (kms) toka chanika mwisho au Buguruni?
  13. C

    Mikopo ya kilimo mkoa wa pwani

    Nashukuru sana, shida yangu ni mtu ambaye anaweza kunisaidia kuandika proposal ili kuweza kupata fedha za kusaidia wakulima 1,000 kwa kuanzia. Kuna taasisi moja ya kanisa ya Uswisi wamekubali kutoa mtaji wa mzunguko (Revolving Fund) kusaidia vijana wakulima kuendeleza hicho kilimo. Nina hitaji...
  14. C

    Mikopo ya kilimo mkoa wa pwani

    Wadau, Kuna uwezekano mkubwa wa kupunguza umaskini wa kipato kwa wakazi wa mkoa wa pwani endapo watawezeshwa kupatiwa mpenyo wa kupata huduma za kifedha kwa ajili ya kununua pembejeo za kilimo na utaalamu wa uzalishaji mazao hasa ya muda mfupi. Katika utafiti wangu kama mtaalamu wa mambo ya...
  15. C

    Dr. Jakaya M. Kikwete ni the best ever!!

    Mmh jamani .........lazima kuna mtu aliiba password yake, asingeweza kuandika vile halafu leo aandike tofauti hivi
  16. C

    Kero za vodacom?? Tcra

    Nimekuwa nikitumia line ya voda kwa muda wa zaidi ya miaka 12. Nimepoteza hiyo line nikaamua kwenda kurenew pale Vodashop Ubungo Plaza. Ajabu nikaambiwa niorodhesha namba tano (5) nilizopiga mara ya mwisho. Ile line nilikuwa natumia kwenye modem ya voda. Sijaitumia kwa calls kama miezi mitano...
  17. C

    Kifo cha utata cha mtangazi mashuhuri bw, Abdul Omary Masood. sababu ilikuwa nini?

    Jamaa alikuwa mahiri kwenye kipindi cha michezo...........
  18. C

    Facts juu ya uongozi wa CHADEMA vyuo vikuu; kusema uongo ni kazi wanayoiweza...

    Mimi nimesoma na Kapaya Kisesa......nilidhani mkristo kumbe ni Mwislamu haswaaaa........
  19. C

    Dvd ambayo ni 3d

    Asante sana mkuu
  20. C

    Bob Marley wa Idimi

    Alikuwepo mwingine akkitwa Mwasimba alisimamisha bendera yake mlima loleza ukielekea Idimi
Back
Top Bottom