Search results

  1. Ulate

    Utaratibu wa kubeba maiti

    Jamani si wankufa wengi hapa kwa dizaini hiyo ,mbona haya huwa hayasemwi au kwa sababu kafa Kanumb
  2. Ulate

    Ndoto kama hiz.....!!!

    Si alikuwa amelala nyumbani kwake ? sasa aibu hiyo kwani alionekana na nani ? ama mzee unatuambia yaliyokutokea heheheh
  3. Ulate

    Natafuta miti ya matunda yafuatayo:

    kwa kweli katika miti uliyouliza sijawahi sikia kama kuna miti ya zeituni hapa kwetu
  4. Ulate

    salama

    hi,habari jamani
  5. Ulate

    Msaada laptop yangu inanisumbua

    haya jamani jamaa anahitaji msaada huyo
  6. Ulate

    Hivi ni Sahihi Kumpa Mpenzio Shikamoo?

    Kwani maana ya shikamoo ni nini?.achilia mbali mke na mume,mimi hata kwa mtoto kumwamkia mkubwa shikamoo pia siielewi,sasa jamani kama kuna mtu anajuwa maana ya shikamoo tafadhari aiweke wazi hapa
  7. Ulate

    Ze Utamu Blogger

    hehehe bongo kweli tambalale
  8. Ulate

    TIPPO (Zizzou Fashion)

    kaazi kwli,sasa hata kama utaambiwa hapa ni bado tu utakuwa umesikia ,hivyo mambo ya kusikia yatabaki unasikia tu.
  9. Ulate

    Ili Kujua Mtoto Wake Sio Shoga, Amlazimisha Afanye Mapenzi na Kahaba

    mzee hapo alichemsha.kuna mashoga wanamlala mtu vilevile
  10. Ulate

    Best Man na Matron wa nini?

    kwani ni nini maana halisi ya neno matron?
  11. Ulate

    Hello JF family!

    karibu kwa kipande hii ya jamii karibu sana
  12. Ulate

    Suala la kuwa na imani tofauti linapotatiza taasisi ya ndoa

    Hivi hiyo hadithi umetunaga ama ni habari ambayo ipo kwenye kitabu cha dini ?.na kama ndiyo ni kitabu gani?.nina maana ni cha dini gani kinakataza kuoana dini tofauti?.
  13. Ulate

    Naomba kuuliza

    Jamani mimi naomba kuuliza,nasikia sehemu ya kigamboni eneo kubwa limenunuliwa na aliye nunua ni rais wa zamani wa marekani yaani george bush,je habari hizi ni za ukweli?
  14. Ulate

    Ushauri: Biashara ya Apartments Dar es salaam

    babu ni mjengo wa aina gani huo utakaochukuwa miaka mitano hadi kukamilika,pindi pesa unayo na vifaa vya ujenzi vimejaa madukani?.wewe cha muhimu jikusanye ukiwa tayari kifedha wala haitachukuwa muda huo uliosema kwani pesa unayo,mafundi wapo na vifaa vinapatikana aaaah kama unalia,bongo mambo...
  15. Ulate

    mwoneni huyu jamaa,anahitaji ushauri

    wabongo bana, ovyooo sasa ukiwa msafi unaambiwa yoyoo,ukiwa si msafi kwa sana unaitwa msela ,kaazi kweli
  16. Ulate

    International Driving Permit

    office ipo morogoro road karibu na faya nyuma ya kituo cha mabasi(daradara) yanayoenda town na kariakoo
  17. Ulate

    Kenya Election 2007: Outcomes

    Congratulation our ODM party it is something we have been waiting for,its time we need a change.even though we are away from our country our hearts are with you ODM.
Back
Top Bottom