Search results

  1. A

    Mrema toka amekuwa kiongozi wa NCCR na TLP kwa miaka 15 hajafanya safari za nje kama Slaa na Seifu

    mkuu, sababu ni obvious, they have different caliber and ambition nd maana vyama vyote alivyo/anavyoviongoza vinaendelea kudorora, hata ubunge alionao sasa ni msaada wa ccm sasa aende nje kufanya nini safari za nje ni kuimarisha mahusiano na kubadilishana uzoefu katika uongozi na utawala kitu...
  2. A

    Sitta: CHADEMA hawawezi kupewa nchi kwa sababu safu yao ya uongozi ni finyu sana

    Nimetafakari sana kauli ya huyu bwana, hakuwa sirias ila alitaka wanaccm wenzie wasijemwelewa vibaya, sababu sitta anafahamu cdm ina wanachama zaidi ya milioni 3 namiongoni mwao ni wabobezi kwenye field mbalimbali, wanafaa na wanauwezo mkubwa kuiongoza nchi ikiwa watapata ridhaa ya wana wa nchi...
  3. A

    Katibu wa UVCCM zenj kaitia aibu UVCCM

    mkuu, wewe mbona hujamalizia pia kifungu hicho maana imesema isipokuwa kama utaungwa 2/3 ya wabunge kwahiyo si lazima miezi sita ila nakubaliana pendekezo lako la pili
  4. A

    Al Qaeda yaitisha Tanzania

    magaidi wanasababu nyingi, lakini inawezekana wanataka reginal attension, pia sisis kama taifa tunaiunga mkono kazi inayofanywa na majeshi ya umoja wa africa na un kule somali vilevile kuwatisha raia wa kigeni hasa nchi za magharibi maana wachuki nazo na wamewekeza kwa uwingi nchini mwetu. Mungu...
  5. A

    Nape na Magamba wangesema nini, kama katibu Mkuu wa CDM angekuwa na asili ya kisomali?

    Wakati wa mwl Nyerere watu ambao hawakuwa uasili wa tz walipewa nafasi za uongozi sababu tu walikuwa Waafrika, wakati rapsharapsha za mageuzi watu hao wakishariwa kutojihusisha na siasa za moja kwa moja kama mzee kinana. Leo hii ktk nchi hii watu wameanzisha siasa za kishenzi na zinazoongozwa...
  6. A

    Nape na Magamba wangesema nini, kama katibu Mkuu wa CDM angekuwa na asili ya kisomali?

    Kwa kuwa katibu mkuu wa ccm baba yake msomalia pure na mama mtz mnataka kusema nini?
  7. A

    Mathias Chikawe: Kikwete asiposaini muswada wa Katiba, atakuwa anatafuta mgogoro na Bunge...

    Kauli ya Chikawe inaonyesha anawasiwasi na mkuu wake. Rais anamamlaka ya kikatiba kutokuisain na kuurudisha bungeni sasa mgogoro hapo uko wapi? Haliyopitishwa dom ni maamuzi ya NEC-ccm si matakwa wa wana wa nji hii na ana jua kuwa rais anajua hivyo. Kama rais amekusudia katiba mpya kupatikana...
  8. A

    JK awajibu wapinzani kuhusu Muswada wa katiba mpya; Adai ni waongo na wapotoshaji

    wananchi wengi wanaamini rais asipewe kazi ya kuteua kwa sababu inaleta ukakasi na inaweza kuwa sababu ya hiyo aliyo ita ghasia na vurugu. kinachonishangaza ni kwanini akina nani hii wanang'ang'ania ilihali hainamanufaa kwao eti katiba inamtaka afanye ivo kama ndivo kulikuwa na haja ya kuuleta...
  9. A

    44.7 Trillion ni pato la taifa na 22.7 Trillion ni deni la taifa

    what! Nadhani si mwelewa wa mambo haya, deni kuwa zaidi nusu ya pato la taifa ni kiashirio kibaya maana inaweza sababisha kukolapse kwa kauchumi ketu. Kama ndani ya miaka michache deni limekua kwa kasi ya ajabu kwa mujibu wa ripoti ya cag. Nchi yetu inakoelekea km tutaendelea na trend hiimiaka...
  10. A

    Dr. Slaa: Lazima wabunge watandikane makonde ndani ya Bunge ili heshima iwepo

    ni vima kutafakari kilichosemwa. Kimsingi ansema vurugu ndani bunge ni matokeo ya uongo wa kiti cha spika ambacho kilishindwa kusimamia kikao kwa hivyo kupigana ilikuwa ishara ya kutetea dhidi uonevu na heshima hupatikana kwa kupigania iwe kwa ngumi au maneno
  11. A

    Tanzania: Mh. Kikwete Amewapiku Walio Mtangulia kwa Kuwa na Falsafa Nzito

    Mimi ninauhakika kunaeneo moja ambayo tutamkumbuka huyu bwana na ndio maana mataifa kama marekani wanamuunga mkono; nayo ni uhuru wa watu kumsema yeye na sirkali yake. Ila maeneo mengine sijaona la maana kama kukuza uchumi wa jamii na hali zao za maisha kama alivyotushawishi kuwa ataleta maisha...
  12. A

    LHRC ni Non-Gorvernmental Organization au Anti-Governmental Organization?

    mkuu, NGO yoyote duniani ni ya kiharakati kuwasaidia wananchi siyo serikali. Kuwawezesha wananchi kujua haki na wajibu wao, kupinga sheria na sera mbovu na kandamizi na pia kuiabia serikali iziache. Kauli ya kiongozi ni amri kwahiyo inaathiri wananchi moja kwa moja, ikumbukwe kauli ya mtu...
  13. A

    Upinzani huu wa CHADEMA ni mfano wa upinzani wa nchi gani za kiafrika

    mkuu mbona unalalamika sana. Kwa ninavyoona chadema si chama cha kipuuzi kama ulivyodai vipo vyama duniani ambavyo vilifanya kama chadema huku vikiungwa mkono na asasi za kiraia kama labour party cha uk, ktk miaaka ya mwishoni mwa 1800 viongozi wake wengi walikuwa nakesi za uchochezi na wengine...
  14. A

    Upinzani huu wa CHADEMA ni mfano wa upinzani wa nchi gani za kiafrika

    mkuu mbona unalalamika sana. Kwa ninavyoona chadema si chama cha kipuuzi kama ulivyodai vipo vyama duniani ambavyo vilifanya kama chadema huku vikiungwa mkono na asasi za kiraia kama labour party cha uk, ktk miaaka ya mwishoni mwa 1800 viongozi wake wengi walikuwa nakesi za uchochezi na wengine...
  15. A

    LOWASSA kila akisimama Bungeni kuongea,BUNGE huzizima kwa Nderemo hii inashiria nini?

    Ukishangiliwa siku zote jiulize kunani? Maana inawezakana wanasema huyu nae yupo au wanakutia moyo kwa sababu ya hali hali. Tukiangalia hali halisi kwa mzee lowasa aljipaka matope sana na akapakwa na pia anataa ya rais wa nchi ktk mazingira haya kuchafuka anakosa ujasiri wa kuongea na...
  16. A

    William Lukuvi amvua nguo Tundu Lissu

    nimesoma cjaona vielelezo zaidi ya kujaribu kujibu hoja za za hotuba ya lisu na facts alizodai kutoa ni za kufikirika. The facts is chochote kikitoke hata kama ni kwa human erro rais na chama chake lazima watabebeshwa lawama kwasababu dhamira za viongozi wake zaonyesha kutaka kuhodhi mchakato...
  17. A

    Kwanini CHADEMA wanauchukia Mwenge wa Uhuru?

    tunapojadili hoja kama hii ni vizuri kuangalia maudhuii ya kuanzisha kwa mbio za mwenge baada tu ya kupata uhuru wetu. Nia ya mwalimu ilikuwa si ku zindua miradi bali kutokomeza unyonyaji, choyo, unyanyasaji, chuki kati ya mtu na mtu, kabila na kabila na dini na dini, kutokomeza rushwa na...
  18. A

    Tanzania na Misaada: Tujadili hili...

    Tanzania tunauwezo wa kujiendesha/kujitegemea mathalan kwa kutumia sekta ya usafirishaji kwani tunazungukwa na nchi nyingi ambazo hazina bahari hivyo kujipatia revenue ya kutosha kuendesha nchi achilia madini utalii ardhi. technolojia tunazinunua kama zilivyofanya nchi za asia halafu...
  19. A

    Kutokomaa kisiasa kutaiua CHADEMA

    kama CHADEMA HAIJAKOMAA KAMULIZE DHAIFU. naona wewe umelewa wanzuki sasa unaona maluweluwe, acha hizo
  20. A

    Hotuba ya Rais Kikwete 30.6.2012

    ukweli ni kwamba taarifa zilipelekwa polisi usiku uleule cha kushangaza ni response ya polisi maana hawakuchukua hatua zozote kama vile kuweka vizuizi ktk njia zote pia yule mtu wa usalama aliyekuwa anafanya naye mazungumzo hakusaidia bali alisamabaa kinamna hapo ndo maana jk na watu hao...
Back
Top Bottom