Search results

  1. B

    How To Identify Legit Work At Home Business.

    Having a paypal account is not the big issue....ikiwa una bank account na banker wako anatoa visa/master cardthen u can have paypal account ambayo inaweza kukusaidia kufanya hata online shopping. Hata hivyo, kabla hujaangahika na hiyo paypal akaunti, anza kwanza kujiunga hapa...
  2. B

    How To Identify Legit Work At Home Business.

    Kibode, Kwanza am sorry kwa kutoijibu post yako kwa wakati coz' i was busy na mambo mengine ya kimaisha. Kuhusu ku-link Credit Card yako na Paypal account ni kwamba, verification code haipatikani kwenye hiyo card. Wakati una-link card yako na paypal, utakatwa $1.95 ambayo itakuwa refunded later...
  3. B

    How To Identify Legit Work At Home Business.

    Edo, worry out buddy..i'll always be here for u! Don' hesitate to ask me anything!! but all in all,fight hard to have 100 neopoints so as u can be able to invite/buy refferals
  4. B

    How To Identify Legit Work At Home Business.

    Edo, u're right mkuu....unajua yale matangazo yanakuwa pale for only 24 hours then yana-expire na yanawekwa mengine.So, inawezekana ulipo-log in matangazo yalikuwa yamesha-expire but am very sure ukiingia tena utayakuta tu.
  5. B

    How To Identify Legit Work At Home Business.

    Let me start on how you can make money with these people. As stated earlier, aina hii ya online money making inafahamika kama Pay To Click, yaani PTC. Kuna PTC websites nyingi sana, tena sana! Lakini nyingi ni scammers! So, kama jina lilivyo (PTC), member analipwa kutokana na idadi ya matangazo...
  6. B

    How To Identify Legit Work At Home Business.

    Edoedward1, you did good bro! Hao ni full scammers!!! You're looking for money so how come on the very first minute some1 asks you to pay money if you wish to make money?! Let me put this way, MOST of these are scammers. Ni very very very few money making websites ambazo on the very first day...
  7. B

    How To Identify Legit Work At Home Business.

    Kama unaona shida kusoma, unaweza tu kuanzia hapa: http://www.neobux.com/?rh=4E617344617A . Katika kuhangaika hangaika namna ya kujiongezea kipato, nikajikuta nalazimika kujiingiza katika what's so called "Work At Home" or "Make Money Online." Changamoto iliyopo ktk biashara hii ni katika...
  8. B

    Katika Kuongeza Kipato, Hawa Wamenishawishi.

    Siwezi kukushangaa Jaluo_Nyeupe, si wewe peke yako. Wengi sana na hata huko majuu hawaamini mambo haya. Na ukweli ni kwamba, wengi wao wanakuwa matapeli na ndio maana nikatangulia kusema wazi kwamba ogopa kama ukoma wale wanaokuambia inabidi ulipie.Usijaribu kabisa unless kuna mtu unayemwamini...
  9. B

    Nimefungua New Blog: Malecela Blog!

    Congratulation bro.
  10. B

    Katika Kuongeza Kipato, Hawa Wamenishawishi.

    Katika kuhangaika hangaika namna ya kujiongezea kipato, nikajikuta nalazimika kujiingiza katika what’s so called “Work At Home” or “Make Money Online.” Changamoto iliyopo ktk biashara hii ni katika kupata Legit Work At Home/Make Money Online Job! Nyingi, ni za kitapeli. Wataalamu wa masuala ya...
  11. B

    Fremu ya biashara inapangishwa -ipo changombe road karibu na njia panda sigara

    Mheshimiwa, kama wewe ni dalali, basi nitafutie ghetto mitaa hiyo. iwe self, chumba na sebule.kukiwa na angalau jiko/stoo ya kiuzushi itakuwa njema zaidi.
  12. B

    Mzee Musobi Mageni hatunaye tena

    RIP Mzee Musobi...unaiacha Tanzania wakati inanuka kisisasa. Peleka salamu kwa mwalimu na mwambie kwamba hatuna hata miaka mitano kwa taifa alilolipigania kugeuka taifa la mauaji ya kisiasa.
  13. B

    Hatimaye aliyemchinja yule kada wa CHADEMA Arumeru akamatwa!

    Hilo nalo neno ingewaje si busara sana ku-conclude kwamba yalikuwa ni mauaji ya kisiasa. Kwa sehemu kama Arumeu ambako wananchi wamehamasika sana katika siasa then si ajabu kukuta wengi wao ni makada wa chama fulani na hivyo kila unapotokea uhalifu unaweza kuhusisha makada wa vyama hata kama...
  14. B

    Hatimaye aliyemchinja yule kada wa CHADEMA Arumeru akamatwa!

    kwahiyo ni muuaji mzoefu. ingependeza sana endapo watu kama hawa wangefanywa kitu ambacho kinakuwa mfano kwa wengine wote.
  15. B

    Nape: Kamba Hukatika Pembeni!

    Nape na Millya wote ni wale wale tu.wote ni wachumia tumbe ingawaje Millya ni zaidi.
Back
Top Bottom