Mpiji Magoe mwisho bei ni kuanzia Million 5 hadi 9 ila ukisogea mbele Km 2 bei za maeneo ni kuanzia 3.5M hadi 6.5M.Hakuna eneo kwa Mpiji Magoe utapata chini ya million 3.5 labda uvuke mto upande wa pili wa mkoa wa pwani uko unapata kuanzia Million 2 na vipo safi ila Kwa Mpiji Magoe eneo la...
Niliwahi kuishi na Wasafwa 1996 kule Uporoto kwa muda wa mwezi 1 ila nilichojifunza toka kwa Wasafwa kuwa ni watu wapole na wasiojishughulisha na ufuatiliaji wa maisha ya mtu hata kidogo hii ni tofauti kwa Wanyakyusa wao......Ila naikumbuka Igoma,Simambwe,Isyonje,No_1 nk
Kwa wateja wengi uwachukulia mafundi kama watu cheap/wasiojielewa hivyo ni vigumu kwa Fundi anapo quote vitu kama usafiri, labour inayomlipa, nk kuweza kukubalika kwa mteja hivyo fundi uzidisha kiasi cha ela ili kufidia gharama za ziada au dharura yeyote itakayojitokeza katika kazi.
Habari,
Naomba kujua kama kuna mdau/wadau waoweza kufanya physical damage data recover, HITACHI Deskstar 250GB haispin ila nimejaribu kubadilisha circuit nyingine ya Hitachi 250GB version & model namba zina utofauti kidogo imeweza kuzunguka lakini haisomi.
Msaada please.
Hii shida ipo kwenye kampuni zote. Backlight na T-con faults ni janga kwenye technologia ya flat screen ila muhimu ni kuuliza kama kampuni husika ina service center hapa bongo na hakikisha unajaza warranty kadi.
Hizo zote za juzi tu mitaa ile,za kitambo ilikuwa ni camp bar pamoja na Madison square pale Tabata bima na hapo Jirani na Mandela ya kitambo ni maruma bar.
Enzi hizo hakuna police post ilikuwa ukizingua unawekwa zone (CCM) na pale CCM kimanga kulikuwa na mbabe mmoja anaitwa Genda kwenye 80's-91 na Twiga namkumbuka golikipa Katuba.
Nimechoka kila ninapo pangusa page za Instagram naona watia nia ambao wengi wao wanatia mashaka kama wana uwezo wa kupambanua hoja za msingi katika taifa, upande wa wenzetu upinzani si mbaya kwa watu wao waliojitokeza wengi wao wanao uwezo.
Kuna namna ya ku loop ila capacitor itaitajika,check na fundi wa motor rewinding au mtandaoni utapata maelekezo lakini itategemea na HP ya motor ili iweze ku maintain RPM yake katika single phase.
Kwa uzoefu wa workshop chukua TCL ipo vizuri kuliko hiyo ambayo inatumia common chip na firmware za kichina. Kuhusu mistari (fault za T-con) lipo kote na ndiyo tatizo kubwa la flat TV haswa za brand kubwa hata kama imetengenezwa Korea.
Hongera kwa TANESCO,eneo ili la Mbezi Mpiji Magohe- Kibesa sasa limepata Nuru ya umeme na Mradi ulianza Novemba 2019 hadi sasa kwenye 80% mmekamilisha project yenu, Asanteni.
Kama taa nyekundu(standby light) haiwaki embu jaribu mambo yafuatayo: tazama power cable au adapter yako kama imeunganishwa vizuri kwenye switch socket na kama unatumia TV guard jaribu kuichomoa na kuunganisha moja kwa moja kwenye socket ikishindikana chomoa waya ya umeme toka kwenye socket...
Sikushauri kuchukua SONY kwa sasa,hawa jamaa walikuwa vizuri enzi za CRT technology na technology yao ya trinton colours display lkn kwenye hii technologia ya flat TV si wazuri kuna wakati wa LCD,TV zao nyingi sana zilikuwa na matatizo kwenye display haswa kioo kupata fungus na fault za T-con na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.