Search results

  1. K

    Kila mwezi na save laki mbili nizifanyie nini?

    Wakubwa nimeanza Jan mwaka huu na sasa nina laki sita. ziko tu benki sijagusa
  2. K

    Kila mwezi na save laki mbili nizifanyie nini?

    Wakubwa, naomba msaada wenu wa mawazo. Mimi ni mwajiriwa lakini ktk kipato change kila mwezi naweza kubakiwa na laki mbili, je kwa amount hiyo naweza kuifanyia nini in terms of investing it? Asanteni wanajukwaa
  3. K

    Mbinu rahisi za kuendesha gari (msaada wenu)

    Ndugu zangu, sijaona mahala pa kuuliza nikapata msaada kama katika jukwaa hili la wanajamii, watu walioelimika na walio na mapenzi ya kuwasaidia wenzao. Sasa jamani ndugu zangu nahisi sitoweza kuendesha gari jijini Dar na hata mikoa mingine. Jirani yangu kanunua gari automatic amekuwa akinipa...
  4. K

    Uuzri na ubaya wa gari hili

    Wakuu nawapa heshima zenu. Naomba kuuliza uzuri na ubaya wa gari aina ya I.S.T. Wanaoweza kutoa elimu wanisaidie hasa katika areas kama ulaji wese, upatikanaji wa spare, miaka ya kudumu kwake Muhimu kuzingatia: Gari hilo ni mtumba la mwaka 2004 na litakuwa likitumia barabar ya kilomita kama...
  5. K

    Uuzri na ubaya wa gari hili

    Wakuu nawapa heshima zenu. Naomba kuuliza uzuri na ubaya wa gari aina ya I.S.T. Wanaoweza kutoa elimu wanisaidie hasa katika areas kama ulaji wese, upatikanaji wa spare, miaka ya kudumu kwake Muhimu kuzingatia: Gari hilo ni mtumba la mwaka 2004 na litakuwa likitumia barabar ya kilomita kama...
  6. K

    Gari la kununua kwa watu wa kipato cha chini

    Nimeamini kuwa Jamiiforum ni kisima cha maarifa. Nawashukuru sana mnaoendelea kuchangia ila naiomba kusema kidogo khs hiyo bajeti ya 200,000 kwanza ni bajeti ya kila mwezi, pili kumbukeni ninafanya kazi siku tano kwenda kazini napumzika jpili tu. Tatu ninaishi Kivule (wasiojua iko pande za...
  7. K

    Gari la kununua kwa watu wa kipato cha chini

    Nawashukuru sana kwa mawazo yenu.
  8. K

    Gari la kununua kwa watu wa kipato cha chini

    Habari wanajamii. Naomba msaada wenu wakuu kuhusu aina ya gari la kununua kwa mtu ambaye bajeti ya mafuta kwa mwezi ni Sh 200,000. naishi Kivule ambapo barabara ni ya mashimo na nafanya Posta mpya. Kuna kaniambia eti nichukue Escudo. Naomba ushauri wataalamu wa magari hasa kuhusu hizo point ya...
  9. K

    Wajuzi nisaidieni swali langu hili

    Swali linahusu ulaji wa mafuta kwa magari.Nimewahi kumsikia mtu anasema kila gari lenye CC chini ya 1500 hilo halili mafuta, so kwa watu wa chini watafute magari kama hayo akawa anataja magari kama Suzuki Jimny Wide, Pajero Mini, Starlet nk. Mimi nauliza kwa wajuzi humu ndani, je ni sahihi hayo...
  10. K

    Kwa nini jamii forums tusifanye harambee?

    Ndugu wana jamvi adhimu la Jamii Forums nawasalimu. Ama baada ya kuwasalimu mwenzenu nina pendekezo moja. Linahusu wazo la memba wote humu kuchangia kiasi Fulani cha pesa tukawapa moderators wetu na kisha kuzipeleka katika mradi wowote wa elimu. Hii itakuwa sehemu ya sisi wanajamvi kuchangia...
  11. K

    Vipi biashara hii inalipa

    Wakubwa nawasalimu Baada ya salamu naomba kuwauliza natamani kuanzisha biashara ya kuosha magari na pikipiki hapa jijini Dar es Salaam. kwa wazoefu wa biashara je aina hii ya biashara inaweza kulipa na kama ndio nifanye nini nifanikiwe? Asanteni sana
  12. K

    Nitapata wapi vifaa vya car was

    Jamani wakubwa naomba nirekebishe post yangu: Isomeke vifaa vya Car Wash. asanteni
  13. K

    Nitapata wapi vifaa vya car was

    Habari zenu wanaJF Naomba taarifa mahala ninapoweza kupata vifaa vya car wash kwa maana ya mashine na vifaa vingine. lengo langu ni kuanzisha car wash mitaa fulani hapa Dar Asanteni
  14. K

    Mnyika ashinda kesi dhidi yake; Hawa Nghumbi atakiwa kulipa gharama za kesi!

    Mnyika alikuwa ashindwe kwa vigezo kadhaa ila tatizo wakubwa wameogopa gharama. Ila hongera zake, sasa alijenge jimbo la Ubungo aache maneno mengi, wana ubungo tunataka maendeleo
  15. K

    Rakesh wa KULEANA – HAKI ELIMU na sasa TWAWEZA ni KIVULI cha nani?

    Umetafuta kiini cha yeye kuhama hama katika NGOs?
Back
Top Bottom