ngoja aolewe il asiwe kahaba, watu mnaroho za kwanini,sasa wewe ulitaka akae ivovo bila kuwa na mwanaume kwani sister huyo,mie sio ushabiki wala nini ila nimesoma coment zako inaonekana wema anakuumiza sana,eti cheap,kwa kumlinganisha na nani?wema kamuacha huyo super star wetu kakutana na ivan...
slaa aliambiwa ndo maana alijitetea.kwan yeye ameambiwa na nani?au hao wa uturuki?na kama aliambiwa hapa tz kwanin asitete akiwa hapa tz akatolee majibu uturuki?huko ni kukosa kujiamin na unachokifjnya.
jamani wakati wa kusajili line za simu faida moja wapo ilikuwa ni kupunguza ahalifu,au mie sikuelewa??sasa hayo mawsiliano kama yanahusika na ugaidi na yanaweza kutumika kama ushahid ubaya ukowapi????hapo ndo mnazidi kuuaminisha uma kuwa serikali ya ccm ipo nyuma ya haya mabo ya kinyama...
sina maana hiyo,ila naanisha hivi,ukiwa na wateja 50 bila kujali christian or isilamic(watanzania ni wamoja)lakini mwezi ukifika(mfungo)wakabaki nusu au robo si lazima biashara ibadilike?ujue sie ni wamoja sana,sidhani kama hizi propaganda zitatufikisha wapi!maana we share almost everthing,
Sitaki kuamini kuwa serikali ya ccm na vyombo vya ulinzi na uasalama wamefikia mwisho wa kufikilia njia nzuri ya kuhakikisha amani ya nchi hii inaendelea kuwepo na wameamua kutishia na kuondoa uhai wa kila anayejaribu kueleza ukweli.kukosolewa ni kujengewa uhakika wa mambo sababu ukisikia na...
kaongea alichotumwa na wananchi wake,wala hajafata maagizo ya nape.anaongozwa na dhamira ya ndani sio shibe na dhalau za viongozi wa ccm.natamani na mbunge wangu angekuwa kama mh.deo walau ningeweza kusema hadhalani kuwa ninambunge.l
huyo akitoka hapo lazima akapate kilo moja ya nguruwe,maana kama ingekuwa kweli hapendi asingeweza kuwataja hao nguruwe,jamani nyama ya nguruwe ni tamu sana,halafu mfungo ukifika soko la kitimoto huwa linadolola sana lakin baada ya mfungo tu,hata ukipandisha bei hakibaki kitu wateja wanagombania.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.