Search results

  1. K

    Nipo kwenye giza, nikimuomba tuwe wachumba ananizungusha

    Siwezi kumuacha nitamsubiri tu....Nmpenda mnooo...weeeeeeeengi nimewaona ila sijamuona ka huyo!!!!!!!!!!!!!!!!!
  2. K

    Nipo kwenye giza, nikimuomba tuwe wachumba ananizungusha

    Kuna mdada nampenda sana ila kila nikimuomba akubali kuwa mchumba wangu nije kumuoa ananizungusha tu. Hakubali wala kukataa anasema nimpe mda atafakari huu mwaka wa pili ananiambia bado hajapata muda.Ananipenda kweli au nihamie kwingine?
  3. K

    Ni kitu gani hasa wanafikiria?

    Habari....mimi ni kijana nina watoto watatu...Kwa bahati mbaya au nzuri nilishindwana na mwenzangu nikabaki na watoto.Kinachonishangaza wakati naendelea kulea watoto wangu naona idadi ya wadada wanaonitongoza inaongezeka.Mpaka sasa wanaoniomba niwaoe hawapungui 17 Na wengine wanajua nina watoto...
  4. K

    Mpenzi wa rafiki yangu ananipenda

    habarini...natongozwa na demu wa rafiki yangu sana...naona nakaribia kumpenda the same...itakuaje jamaa akijua? au nimchunie?
  5. K

    Kumrudia usiyempenda

    Habarini wanajamvi...Mi nina umri wa miaka 40...nilizaa na mdada then tukaachana ka miaka minne...ananiomba mara nyingi sana turudiane...sasa naingiwa sana na huruma ya kutaka kumrudia ila kusema ukweli kutokea moyoni simpendi...na hata ndugu hawamtaki tena...kutokana na aliyoyafanya...
  6. K

    Nataka kuoa ila nimemzidi umri, je ni sawa?

    Habarini wadau...ninataka kuoa binti niliyempita miaka 15...kuna ubaya wowote?mi nina miaka 38 na yeye 23.Asanteni
  7. K

    Nimeolewa ila sijui ni kwanini namtamani sana huyu kichaa

    hapo sio pepo wala shetani wala jinni...ni tamaa zako mwenyewe za mwili ndo zinakusukuma ...kamwe hutazitimiza tamaa za mwili...hivyo enenda katika roho....futa kabisa hizo fikra delete kabisa then mpe Mungu nafasi ya kwanza....utashinda tu.....ila kutamaniana kama wanadamu kupo na hakuwez isha...
  8. K

    Tofauti ya miaka 18 inafaa kuoana?

    Habari, Mimi ni kijana nina miaka 40.Nimepata mchumba anamiaka 22.Je nikimuoa tofaut ya umri inaefect baadae kwenye mahusiano?
  9. K

    Kuachana kunauma zaidi kuliko kuvumiliana

    Mimi ni kijana ninamiaka 27 na nilizaa na mdada mmoja ila hatukuoana.Sasa katika mahusiano tukashindwa kuelewana ikabid tuachane.Akaniachia mtoto akatambaa.Nimekua nikipenda na kupendwa sana na wadada wengine niwe nao ila kila nikimfikiria mama mtoto wangu naumia sana hata usiku saa nyingine...
  10. K

    Msaada wa namna ya kumpata

    Habari wadau, Mimi ni kijana nimempata mdada mmoja nikampenda sana sana ila tatizo ananiambia anamchumba anasoma chuo. Mimi nafanya kazi nimemshauri amwache nimuoe amegoma kabisa. Nifanyeje wadau? Sijui kwa nini ananikataa au kwa vile nina mtoto mmoja na mtu anayemjua ambaye tulishaachana au...
  11. K

    Sababu ambazo zinachangia wadada kuachika au kutoolewa

    Salaam, Nimekaa nikatafakari kwa kina na uzoefu nilionao wa miaka thelathin kwenye eneo la mahusiano nikagundua yafuatayo ndo sababu kuu za wadada kuachika au kutoolewa: kujifanya matawi sana, kupend makuu,kutokujal upande wa wakwe,kujifanya mjuaji,muongo, mwizi, kutoa penzi kirahsi, kutokua na...
  12. K

    Naombeni ushauri wa haraka

    Habarini mimi ni kijana nina miaka arobaini, nilikuwa na mwanamke nikazaa nae watoto wawili tukaachana kwa sababu za kutoelewana na mimi na ndugu majirani, kiufupi ni mwanamke mgomvi sana hawezi ishi na ndugu jamaa au marafiki, alishakalishwa sana na hakujirekebisha. Sikua na ndoa nae na tangia...
  13. K

    Niliachana na mpenzi wangu, nikitaka kurudiana nae ndugu wanakataa

    Habari, Niliachana na mchumba wangu miaka miwili iliyopita, ila kila nikimkumbuka namuonea huruma sana, naambiwa anateseka sana but kila nikitaka kumrudia ndugu wanakataa na marafiki kwa tabia alizonazo. Nifanyeje? Ushaur plz
  14. K

    Ushauri: Mwanamke niliyezaa nae tukaachana amebaki kwa mama mkwe hataki kuondoka

    sikua na ndoa nae...na bado sijaoa tena na sina mpango wa kurudiana nae
  15. K

    Ushauri: Mwanamke niliyezaa nae tukaachana amebaki kwa mama mkwe hataki kuondoka

    Habarini wadau, Mwanamke niliyezaa nae na tukaachana miaka miwili iliyopita mwezi uliopita alisema anaenda kusalimia wanawe kwa mama mkwe kijijini na angekaa wiki tu arudi kwao. Ila mpaka sasa ni mwezi sasa hajarudi kwao na haonyeshi ishara ya kuondoka nichukue hatua gani ya haraka? Na bahati...
  16. K

    Naombeni ushauri katika hili

    Kwanza kabisa mkuu nikupe pole sana...Mimi nilipitia makubwa kuliko wewe na bahati nilikua sijafunga ndoa kama wewe...Nilivumilia sana ila ilifika mahali nikashindwa kuvumilia ikabid mpaka ndugu wahamasishe binti kuondoka...nafikir kutokana na uliyoyasema na ninaamini kuna mengi hujasema hapa...
  17. K

    Ushauri: Unafanyaje kwa mwanamke wa aina hii?

    nawashukuru wachangiaji bado nasubir ushaur uendelee kutolewa mwisho nitafanya maamuz
  18. K

    Ushauri: Unafanyaje kwa mwanamke wa aina hii?

    sio majiran **** ni majiran kumi...ushaur wako ni nini????????????
  19. K

    Ushauri: Unafanyaje kwa mwanamke wa aina hii?

    Nawashukuruni sana kwa ushauri nitaufanyia kazi......bahati sikufunga nae ndoa na nimekaa nae miaka kama miaka mitatu...kuhusu elimu mimi nina masters yeye anaelimu ya form four
Back
Top Bottom