Hilo la kauli kuitolea bungeni..
sijui kinga ya woteva..
watajibu mahakamani.
Cha muhimu Pinda kafikishwa mahakamani kwa kauli zake za kikatili, kiuaji...
hata mahakama ikitupia hilo shitaka., rekodi haitatupwa.
Mkuu kashengo, tunajua mwisho wa msimu huu Arsenal ilikuwa stable.
Ukweli kuwa bado tunahitaji reinforcement.
Hata wachezaji wenyewe wanataka Wenger asajili.
Tunahitaji clinical finisher, na reinforcement pia kwenye midfield...
Usajili licha ya kuleta talent mpya, inainua morali ya wachezaji...
So you think.
Kwamba watakuwa mwewe daima....!
Tuwaombee maisha marefu na wewe inclusive....
Tuje tuone kama huyo mwewe atakuwa akibeba tu vifaranga miaka nenda rudi.
Ungejuiliza pia kuwa baadhi ya mwewe wenzake bado wana mbawa za kupaa daily na kuenjoy vifarang?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.