Search results

  1. I

    Wenye uchungu na nchi...

    KWA wote wenye uchungu, nenda mkajifungue, Mbunge katupa uvungu, hili tukalitambue, Wao hawana uchungu, acheni watu waliwe, Wenye uchungu na nchi, tokeni mjifungue ! Wagoma madaktari, nendeni kujifungua, Uchugnu ukishamiri, hio mnashautiwa, Angalia yaso kheri, kwao mnaowachagua, Wenye...
  2. I

    Serikali haistahili kuwepo Dar, iuze majengo ikamalizie Dodoma

    NAIPONGEZA serikali ya chama cha mapinduzi (CCM) kwa kuizawadia hoteli ya Kempinsky zawadi ya eneo la mahakama. Ninaamini serikali yetu ipo kwenye mji usiostahili kuwepo, na kutokana na hili utendaji wa watendaji wake unakuwa wakibabaishaji (kiasi cha kushindwa hata kuandika vizuri bajeti ya...
  3. I

    Bunge: Sasa 'soap-opera' kubwa nchini

    YALE yanayooneshwa katika TBC yamefanikiwa kukifanya kipindi laivu cha bunge kuwa 'soap-opera' bora nchini. Hivi sasa, hasa, kukiwa na hoja moto inayompa spika ujeuri na jazba na hali kadhalika 'young turks' wa opposition-Zitto Kabwe na Tundu Lissu bila kumsahau Mh. Kafulila. Baadhi ya watu...
  4. I

    4 baraza la katiba mpya tanzania 2011

    BAADHI ya Watanzania wanaamini kuwa serikali na uongozi uliopo nchini hivi sasa utaitendea haki katiba mpya na kuwatendea haki wananchi wa nchi hii kwa kukubali kuwepo kwa Baraza la Katiba Mpya Tanzania 2011 au Mkutano Mkuu wa Katiba Mpya Tanzania 2011. Je, wewe mkulima unayehamasishwa hapa...
  5. I

    Wanasiasa wafika lakini simu za mkononi zakwama kutinga loliondo

    NA KELELE zao zote za kufika Usambaani na Unyakyusani kwanza Wamiliki wa Makampuni ya simu za mkononi hawajawa na ubavu wa kufika Samunge, Sale, Loliondo. Pengine wanaona Wamasai baada ya kukosa Waziri Mkuu hawana maana tena au wanafikiri kwa makosa kuwa biashara ya babu ni ya muda...
  6. I

    Mabaa Ovyoovyo: Serikali Inavyokera Wananchi wa Tabata Shue

    KATIKA kipindi kifupi tu cha sehemu ya pili ya mwaka 2010 eneo la Tabata Shule 'limezawadiwa' kwa hisani ya chama tawala na serikali yake baa zaidi ya 10. Na baa zote hizi hivi leo zinakuwa ni kero kubwa kwa Wananchi ambao si washiriki wa mambo ya kilevi na umalaya unaoendeshwa waziwazi katika...
  7. I

    Idara ya Ustawi wa Jamii ipo ipo tu ?

    Katika idara ambazo hazibahatiki kuwa na watu wanaozifuatilia na kudhibiti utendaji wake hapa nchini ni idara muhimu zaidi kwa watu masikini, wanyonge na dhaifu katika jamii kuliko zote-Idara ya Ustawi wa Jamii ! Si viongozi wala wanasiasa wa upande wowote wanaonesha kuwa eneo hili lina maslahi...
  8. I

    TRL, TAZARA, Uchina na Uendeshaji Treni

    SIJUI kama wakuu na Wanasiasa wa Tanzania wakiwemo Kikwete, Lipumba, Slaa na wengineo wana habari kwamba China imekwishatengeneza Treni iendayo kasi kama zile za Japani na Ufaransa. Na hivi ninavyoandika haya tayari Wachina wamewapiga chini Wajapani na kuikamata tenda ya kujenga treni iendayo...
  9. I

    Kikwete sawa UDOM, na Vyuo Vikuu vingine?

    MAPENZI aliyeonesha Mheshimiwa kwa Chuo Kikuu Dodoma laiti pia yangelipewa angalau nusu vyuo vingine hakika malalamiko mbalimbali ya wanavyuo yangelipungua kwa kiasi kikubwa. Vyuo vingi hapa nchini vina uwezo wa kuingiza mapato makubwa na bado wanafunzi wakaweza kusomeshwa kwa wingi na kwa...
  10. I

    Tuna Tatizo la Mawasiliano-kiuchumi, kijamii na kisiasa

    Tuna Tatizo la Mawasiliano-kiuchumi, kijamii na kisiasa YAPO madai kwamba Tanzania hivi leo ina tatizo kubwa la mawasiliano ya umma yanayowajulisha watu kwa wakati wategemee kitu gani kutokea siku fulani. Hapa hatuzungumzii idara fulani au vyombo vya habari binafsi maana hawa kwa upande wao...
  11. I

    Ndizi Tiba ya Ukimwi

    WANASAYANSI wamegundua protini maalum iliyomo kwenye ndizi ambayo inazuia wanawake wasiambukizwe ukimwi wakati wa tendo la ngono. Wanasayansi hao toka Chuo Kikuu cha Michigan nchini Marekani wanaamini kwamba ugunduzi huo utasaidia kutengenezwa na kuuzwa dawa za bei nafuu zitakazozuia kuenea...
  12. I

    Siasa za Nje, Balozi zetu na Safari ya Simba Zimbabwe kwa mafukara wa Lengthen....

    IMEWAHI kuzungumzwa katika makala za Jumapili za Insha za kaka Makilla-ambaye incidentally namheshimu kama kisima cha fikra angavu, mpya na zenye kumjali Mtanzania wa kawaida kwamba ni vizuri balozi zetu huko nje zingelifikiria kuwa na HOSTELI INAYOPEPERUSHA BENDERA YA TANZANIA. Hosteli hiyo...
  13. I

    Wajenzi wa Barabara Nelson Mandela wanawakomoa wakazi wa Tabata

    STAILI ya ujenzi wa barabara ya Mandela katika kipande kati ya Buguruni na Ubungo kinatutia wananchi hofu kwamba huenda wajenzi hao wanafanya makusudi ili tuteseke bila sababu ya kuridhisha. Hivi katika barabara yenye njia mbili unawezaje ukawa unajenga njia zote kwa wakati mmoja. Na siyo...
  14. I

    Is TTCL pricing itself out of buiness ?

    While other telecom companies are busy reducing costs and tarrifs TTCL seems busy to burden its customers with unnecessary cost elements. Case in point is that despite bidding and joining Seacom the internet pricing of the company leaves a lot to be desired. I was wondering who is advising...
  15. I

    Ripoti ya mauaji maalbino (za leo leo)

    REDIO mbao na bati mitaani zinasema kwamba ripoti ya kuwapigia kura wanaotiliwa shaka dhidi ya mauaji na uponzaji wa mauaji ya maalbino huenda isitoke maana wengi waliopigiwa kura na viongozi wa nani hino na nani hino, yaani, mwanawane, ni wakubwa, wazito, chuma, vigogo na magogo makubwa...
  16. I

    Wanafunzi Nairobi waunda chaja ya simu ya baiskeli

    Hullo, Wahandisi wetu Mlimani Chuo Kikuu. Bado migomo inaendelea au kuna utafiti mnaoufanya ? Wenzenu Nairobi wameiadapt dynamo ya baiskeli na wana kusudia kuwafikishia wanavijiji huduma ya kuchaji simu zao kwa kutumia baiskeli hizo hizo zinazotumika kwa usafiri. KUBWA zaidi ni kuwa vijana...
  17. I

    Wanasiasa wanasemaje kuhusu hili ?

    HIVI viongozi na WABUNGE wetu wanajua kwamba mtu anayetaka kusoma toka kwenye internet masomo kama ya Lugha, Dini na mengineyo ambayo yanawasilishwa kwa sauti ISP wa Kitanzania hawaruhsu na wakiruhusu wanakomba fedha yote iliyopo kwenye akaunti ya mtu ? Je, wanajua kwamba ni gharama kubwa...
  18. I

    Tunajifunza nini kutoka Honduras?

    Baada ya Rais Zelaya kukaidi amri ya Jaji Mkuu kwamba asiendeleze tamaa zake za kutaka kubadili katiba ili ajiruhusu kutawala Honduras kwa mwongo mwingine, Jaji Mkuu aliamru Jeshi limkamate na kumtia adabu. Ninajiuliza hivi Tanzania na katiba yetu hii isiyo na kifungu inayoilinda dhidi ya Rais...
  19. I

    Nyani amkojolea Rais

    ILIKUWA ni ya mwaka pale nyani aliyepanda juu ya mti kama vile anataka kuona na kusikia vizuri zaidi alipomkojolea Rais Banda (mpya) wa Malawi pale Ikulu, Lusaka. Rais huyo alikuwa akizungumza na waandishi wa habari na kutokana na hali ya hewa kuwa nzuri siku hiyo aliamua wakae bustanini nje...
  20. I

    Bw. Waziri Mkuu Pinda

    Bw. Waziri Mkuu Pinda: Dar imekithiri uchafu MBAGALA imeshughulikiwa kwa kasi ya ajabu ijapokuwa bado kuna kizaazaa cha hapa na pale kule.Ni dhahiri kuwa Dar kama unapatikana utashi wa kisiasa, menejimenti safi na viongozi wanaotambua kuwa usafi na mazingira bora ni sawasawa au hata...
Back
Top Bottom