Hawa ni navy/sailors na hufanya hivyo sababu kama wanamaji mikono yao inaweza kuwa na magrisi kama fundi magari so they opt to salute their palm facing down.
Haha haaaaaaaa! harusi za kichagga ziko hivyo mwali akifika nyumbani kwa mara ya kwanza tangu waoane hususani wanapotokea kanisani ama msikitini kufunga ndoa ni lazima tambiko/au mila inayoitwa chungu cha ndoa(wali) kinyweke kwanza.
Hahahahaaaaaa! upara ni uleule tu..sema unang'aa sababu ya kufutia mikono baada ya kule vyepe.
ya kweli haya unayosema Kasie eti ubuyu wako ni mtamu kushinda pilau la nyam ya ndafu?
According to ancient Japanese cuisine tradition...the most delicious food is prepared by the one with great LOVE.
oooh! I can't wait to taste this Continental cuisine prepared by ever-smiling African woman.
Kwa kweli itanibidi nimtafute kwa kila njia kwani yeye ataweza kuniambia pasi na kificho who was acting on behalf during my absence from the office.
na tena!!! ntaanzia kule kwenye gari letu tulilopewa juzi ila sijui atasafiri siku gani ama daraja lipi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.