Habari,
Swali langu ni uhitaji wa kujua kama unataka kutengeneza online service yako mwenyewe hapa Tanzania kama ya Paypal, je unahitaji kupata leseni ya biashara ya aina gani na gharama zake zinaweza kuwa kiasi gani.
Mfano wale Nala Money wamefungua kampuni tu ya kawaida au kuna regulations...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.