Search results

  1. S

    Wale waliomba awareness creation officer

    sasa hawa watu si wameweka hadi physical address yao? watu si mfanye kwanza utafiti kujua uwepo wao kabla ya kuchukua hatua zingine? Na kwa ujinga zaidi wamegoma ile namba isipigwe
  2. S

    Kufungiwa kwa gazeti la mwanahalisi:

    Ni mda mrefu tangu gazeti la MWANAHALISI limefungiwa na serekali kwa tuhuma zisizokuwa za msingi. Na mda mrefu sasa sisi tulikuwa wasomaji wakuu wa gazeti hili, tumekuwa tukirudia yale yale matoleo ya nyuma (ya MWANAHALISI kabla ya kufungiwa). Kwa muktadha huu tunasema WE REALY MISS YOU...
  3. S

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Huyu meo naye anatuzingua, anafikiri sisi mameo wenzake. Tutolee umeo wako hapa!
  4. S

    ...TBS yakamata mipira ya kiume (condom) fake!

    Hapa Tanzania kila mtu anachukua chake mapema. Ukipata chance 'unapiga' kisawasawa. Wa ARV alipata nafasi akapiga, wa meno ya tembo naye anapiga kivyake, wa kampuni ya utalii kapiga hadi kabadilisha nyumba yake huku Singida kuwa LODGE, huyu 'dili' ya condom naye anapiga. SULUHISHO NI...
  5. S

    ...TBS yakamata mipira ya kiume (condom) fake!

    zimethibitishwa na tbs.
  6. S

    ...TBS yakamata mipira ya kiume (condom) fake!

    Katika taarifa ya habari ya Channel ten ya saa moja usiku leo, tarehe 21 Dec, kuna taarifa kuwa Condoms aina ya MELT ME toka INDIA ni feki na hazifai kutumiwa. Sote tunajua kuwa condom ndiyo kinga pekee iliyobaki baada ya A (kuacha ngono) na B (kuwa muaminifu) kukosa nguvu. Sasa kama condom...
  7. S

    leo temeke haibu tupu!!

    Hayatuhusu hayo, sisi tuna stress zetu za kazi wenyewe wana kula raha zao. Hili ni jukwa la kaz na ajira baaas!
  8. S

    Madudu ya wahitimu vyuo vikuu.

    Si afadhali ya huyo kaandika toka kichwani kwake. Yupi mbaya kati ya anayecopy na kupesti na anayekosea?
  9. S

    Zitto: Serikali isipowataja walioficha mabilioni nje, CHADEMA itawataja hadharani!

    Zitto acha kutudanganya na hizo kanuni uchwara za bunge! We kama wa kuwataja we wataje tu. Uliona Dr Slaa aliianika ile list of shame Bungeni? Alifanya out of the house, sasa we unapotuambia eti kanuni inakubana uwatajie bungeni sijui unamaanisha nini? Ujue kuwa watu wamepoteza imani na wewe...
  10. S

    Mbona CHADEMA hawana wabunge wahindi au wasomali?

    Kusoma historia kuna faida yake! We hujui kilichofanya waarabu na hata wahindi waje Tanzania?!! Biashara, tena ya (hasa) ya Utumwa! Kwa hiyo waliopo hadi leo bado wako na element hizo na ndo maana wanajificha ccm ili wafanye biashara zao chafu "(utumwa)" smoothly. Chadema hakuna hizo!
  11. S

    CHADEMA vs Mitandao ya Jamii

    Nimependa jinsi watu wanavyozidi kuchangia mada hii. Nimeshaanza kupata majibu, na kikubwa nilichokigundua ni humu kuna watu wa aina mbili; waliotayari kuelewa na kuchangia mada positively, hawa ndio tunaowataka na wanauwezo wa hata kukiimarisha chama hata mtaani (nje ya mitandao). Lakini kundi...
  12. S

    CHADEMA vs Mitandao ya Jamii

    ngoja nikueleweshe ndugu yangu! Nilichokiuliza ni swali, na swali lenyewe liko Very Direct; kwamba, WAHUNI KAMA WANAVYODAI CCM? Hapo vipi? Bado!!!!???? Na kwa taarifa yako hapa nilipo, bila unafiki wala uoga, nimevaa Gwanda; hata ofisini naitwa Chadema1. Karibu!!!
  13. S

    CHADEMA vs Mitandao ya Jamii

    we hata huelewi ndugu yangu. Kuna tofauti kubwa kati kusoma sentesi nzima badala kuchukua neno moja katika sentesi nzima. Kama we kweli ni muelewa, naomba urudie kusoma hizo sentesi ulizowekea RED, then uniambie umeelewa nini kabla cjakupa KUBWA!
  14. S

    CHADEMA vs Mitandao ya Jamii

    Nimekuwa nikitafakari kwa muda mrefu sana kuhusu Posts na Comments ninazokutana nazo kwenye mitandao ya jamii, zinahusiana na siasa za Tanzania. Mitandao hiyo ni kama hii Jf, twitter, facebook, blogs nk; wengi wanaotoa comments inaonekana kuwa kama si washabiki basi ni wanachama wa CHADEMA. Hii...
  15. S

    Sensa kata ya mbezi hakuna posho,peni unanunuwa mwenyewe!

    Si muwaulize hao wanasimamia tatizo, au kama vipi mtie mgomo ili wastuke. Si unajua ukweli kuwa "corrupt people have got currupt means, and they need to be currpted to neutralise the situation"
  16. S

    Business consultant available

    Piga 0769736770, 0712067988 you will be advised. It is a paid service, that if you pay you will have a sense of ownership on it. Welcome!
  17. S

    Njoo Jiunge Nasi-MWANZA

    aende zake, wala asinichefue!
  18. S

    Njoo Jiunge Nasi-MWANZA

    sorry sana nilikuwa vilage, nilifatilia mambo kadhaa, nitawacontact very soon. Tuvumiliane kidogo, naijua sana stuation ulonayo.
  19. S

    Njoo Jiunge Nasi-MWANZA

    tafuta haki, ukiipata uje unigawie kakipande kidogo!
Back
Top Bottom