Search results

  1. 077

    John Mashaka Ni Mbunge Mtarajiwa!

    Tunahitaji kizazi cha wasomi kilicho uamishoni kirudi kusaidia nchi zao Afrika.Mashaka we rudi tu na mungu atakubariki sio wewe tu hatana wengine ila sio lazima uwe kwenye siasa ndio usaidie wenzako
  2. 077

    Kutoka Butiama: Exclusive news

    Go east,Go West ;Nyerere was the best ever.Hta mafisadi wanajua hilo
  3. 077

    Majeshi yetu Comoro: Who is responsible?

    Habari za uhakika ni kuwa bado kuna sehemu inashikiliwa na majeshi yanayomtii Bakari na kwenye France 24 wamewaonyesha majamaa wakiapa kuwa watakufa na mtu.Pia kuna habari za kijasusi kuwa Bakari anatoroka na boti na kuna uwezekano kuwa amevaa kama mwanamke ili kukwepa kukamatwa.Kazi ipo na bado...
  4. 077

    Walinzi wa Museveni & Gaddafi watwangana vikali- Karume Asukumwa!!!

    Waarabu ni wabaguzi kupita kiasi;wanajiona wao ni viumbe muhimu kuliko wote.Hii imetokea baaada ya uvumilivu mkubwa naona waganda wakasema sasa basi liwalo na liwe.
  5. 077

    Netherland Wautambua Mchango wa MwanaHalisi

    kweli kubwajinga.Kupiga picha tu.Unanikumbusha kisa cha Richmond na mzungu pamoja na biznes kadi yake.Alafu akitambuliwa na hao wazungu then wat?Africans have a long way to go!Duu!
  6. 077

    Attention Bodi Ya Mikopo Ya Elimu Ya Juu Kwa Wanafuzi(HESLB)

    Jamani ni vizuri kuuliza na kufatilia kwa makini haya mambo kabla ya kuyashadadia.Mwaka 2003 kama sikosei kulitokea tetemeko algeria na wanafunzi wote wa kigeni walirudishwa makwao.Watanzania walipotuma taarifa bongo zikatumwa tiketi za wazanzibari tu.Amini usiamini wa visiwani warirudi ila wa...
  7. 077

    Heavenly Riddims

    Wikiendi ndio hiyo.Pata reggae hapa
  8. 077

    Kubenea Na Mwanahalisi Waombe Radhi

    Shy kwa pumba bwana.Jamaa hajawahi kuandika la maana hata moja.(ukiacha zile anazo copy na ku paste kutoka mitandao mengine)Shy Umaarufu hauji bure kaka/dada.
  9. 077

    Mtanzania anaweza Kutajirika

    Napenda kuongezea katika yote mliyosema watanzania waongeze morali ya kusoma vitabu maana wabongo kwa uvivu wa kusoma vitabu nenda hata chuo uone vitabu vinavyoozea library kuna msemo kkuwa ukitaka kuficha pesa mtanzania asione ficha kwenye kitabu itakaa kwa usalama hata miaka 100 ial...
  10. 077

    Mtanzania anaweza Kutajirika

    hizi ndio hoja sio kulalamika tu ooh waziri waziri ila naona watu wanachelewa kuchangia hoja hii kwa sababu aliyeanzisha sio member mwenye jina wanasubiri mwanakijiji aandike hata upuuzi wajibu.Big hizi ndio hoja na ntakuja na tathmini yangu jinsi gani mtanzania wa kwaida anvyoweza kujiondoa...
  11. 077

    Felix Makene Afariki Dunia!

    "One bright morning when my work is over I will fly away home to Zion" Sisi ni mavumbi na mavumbini tutarudi;RIP Felix
Back
Top Bottom