Asante sana buso kwa ushauri,ila wana katisha sana tamaa kwa maana urasimu ni mwingi na wengi wetu hiyo pesa ya nauli ni ishu kuipata, MUNGU ATUONGOZE kwa maana kumwona katibu mkuu kiongozi pale ikulu ni ishu labda kutuma barua...
1. a/ Mwaka 2007 niliajiriwa wilaya ya kongwa kama mwalimu wa leseni,mwaka 2009 nikaomba kwenda kusoma diploma ya ualimu,ila mie nikaenda kusoma advanced diploma ya ugavi pale TIA.
b/Nimelipwa mishahara yangu mpaka nilipomaliza masomo yangu na kurudi kazi na mkuu wangu wa shule akanipokea ila...
1. a/ Niliajiriwa mwaka 2007 wilaya ya kongwa kama mwalimu wa leseni,mwaka 2009 nikaomba kwenda kusoma DIPLOMA ya ualimu ila mie nikaenda kusoma Advance diploma ya ugavi chuo cha TIA.
b/Nimelipwa mshahara wangu mpaka nilipomaliza masomo na kurudi kazini mkuu wangu akanipokea ila afisa elimu na...

kuwa mvumilivu,mie nimemaliza TIA 2011 june,na transcript nikapata 2012 january. CHETI kikatoka 2012 august!. c lazima uombe hzo kazi za pccb kwani zitatoka nyingine nyingi tu..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.