Search results

  1. Kigogo

    Raia wa kigeni watatu wawekwa rumande kwa kufanya kazi nchini bila vibali

    Katika hali ya kushangaza shirika lisilo la Kiserikali la International Rescue Committee(IRC) limejikuta pagumu sana baada ya Country Director wao Raia wa Urusi Bw Timerlan Pliev na Bi Lucy Proudlock raia wa UK kulala rumande polisi Oysterbay kwa kuwa nchini zaidi ya mwezi na wanafanya kazi bila...
  2. Kigogo

    Laptop inauzwa haraka sana

    Laptop mpya kabisa inauzwa Lenovo thinkpad ...gb 500hdd...core i 5 ... Inauzwa shilingi za kitanzania 650.000/= Serious buyer ani PM...
  3. Kigogo

    Macbook Air inauzwa

    Macbook Air inauzwa .anayetaka aje PM tujadili win win situation Specs-GB 500,corei 7, 1.87 ghz ,15inch
  4. Kigogo

    Askari Ukonga wadaiwa kumuua mfungwa kwa kipigo

    Askari wawili wa nyota 3, majina yao ni Sindani na Jafari wanadaiwa kumpiga mpaka kumuua mfungwa anayeitwa Fred wakimtuhumu kuwa anauza madawa.. Hii ni mara ya pili mfungwa anauawa na maaskari wa gereza hili la Ukonga. Maiti iko mortuary hapa Muhimbili..
  5. Kigogo

    Iphone s6 64gb inauzwa na mimi Kigogo

    Iphone 6s 64gb inauzwacna mimi Kigogo...anayetaka anai pm tufanye biashara kabla jua halijawa kali Asantiii
  6. Kigogo

    Huyu traffic kimara mwisho ni kero

    Yaani huyu jamaa sasa hivi kasinamisha magari halafu anaongea na simu for almost 30minutes.. Hajali kabisa. Hivi hawa wanajifunzia wapi hii kazi.
  7. Kigogo

    Al Jazeera na vita huko Gaza

    Naangalia Al Jazeera ,wanaonyesha documentary ya uharibifu uliofanywa na vita na Israel...sasa hawa wapalestina wanapasuliwa namna hii bado wanakomaa tu ..hawa watu vipi hawa? Yaani kuna sehemu inaitwa Khuzaa imefutika kabisa hakuna hata nzi wala mbu anayeruka lakini bado tu wako busy na hizo...
  8. Kigogo

    Natafuta macbook air

    Natafuta macbook air haraka sana ..mwenye nayo ani pm tufanye biashara ..asanteni
  9. Kigogo

    Samsung galaxy S3 mpya inauzwa

    Samsung galaxy S3 mpya kabisa inauzwa...serious buyer ani PM tufanye mchakato
  10. Kigogo

    Iphone 5 inahitajika haraka sana

    Hamjambo eehh...natafuta iphone 5 au 5s haraka sana mwenye nayo na anaiuza ani pm haraka sana...
  11. Kigogo

    Muelekeo wa siasa za upinzani katika nchi hii

    Mimi si muandishi mzuri sana japo ni mzee na mkongwe humu JF..Lakini leo nimeona niweke mambo machache hapa ili nitoe mtazamo wangu juu wa muelekeo wa siasa za upinzani katika taifa hili. Angalizo- sitaki mambo ya source mara sijui nini.. Ustawi wa siasa za upinzani unategemea sana utayari wa...
  12. Kigogo

    Galaxy tab 2 ,16gb inauzwa 600,000/= TZS

    Galaxy tab 2 ,16GB tajwa hapo juu inauzwa na Kigogo haraka sana na bei yake ni TZS 600,000/= .. Tafadhali kama unaitaka twanga 0719 330278 ntaideliver mpaka mlangoni kwako. Wahi offer hii kabla sijawa busy na mambo ya machakato ya serikali ya shirikisho.. Kigogo-Mapumzikoni Dar
  13. Kigogo

    Kenyela atolewa u RPC

    RPC wa kinondoni kapigwa chini kapelekwa makao makuu kusoma magazeti... Wambura ndo anakuja kuwa RPC Kinondoni ... Kazi ipo! =============== UPDATE - June 06, 2013 Soma: Mabadiliko Polisi: Kamuhanda ahamishwa toka Iringa... Kenyela atolewa Kinondoni!
  14. Kigogo

    Galaxy tab2 inauzwa haraka sana

    Galaxy tab 2...16gb ..mpyaaaa inauzwa haraka sana na mimi kigogo...serious buyers call me 0719 330278...delivery mpaka mlangoni
  15. Kigogo

    hivi haya majizi yaaacha lini tabia hii? Be aware JF members

    Someni hapo chini muone eti huyu kanitumia kwenye PM yangu.....mi mwenyewe natafuta mtu wa kumpiga sasa huyu si ananichakesha huyu Hi My name is juliet i am new in this site i saw your profile and like it i will like you to contact me back through my private...
  16. Kigogo

    Kikwete umejisikiaje Dr. Ulimboka alivokukatalia kwenda kumuona?

    Nimejiuliza maswali mengi sana juu ya kukataliwa kwako na Dr.Ulimboka ile alhamisi mchana ulipotuma maafisa wako wa ikulu wapeleke taarifa kuwa unataka kwenda kumuona na kakakukatalia.. Bila shaka umejifunza kuwa sio mara zote una deal na watu wenye akili na mawazo mepesi ....hii itakuwa...
  17. Kigogo

    Kumbe JK wewe ndo ulifanya njia ifungwe Sinza ?? sawa bwana mungu anaona lakini

    Khaaa yaani kumbe ndo ulivo hiyo baba mwanaasha..Tabu yote tumepata kumbe we ndo uliamrisha njia ifungwe...hahaaaa..haya bana
  18. Kigogo

    Ndo maana pinda anafikiri kinyume nyume -kama unabisha tazama hii

    sasa namna hii unategemea PINDA ana JK wataweza kufikiri vitu straight??? Lazima akili yao ipinde tu.... Source : Picha hiyo hapo juu
  19. Kigogo

    Kikwete atua Dodoma na kupokelewa na Hamad Rashid

    hivi huyu Hamad Rashid ni kiongozi wa serikali au nani?? yaani mi sijamuelewa kabisa...(note:msianze kuniuliza source hapa...na kuattach kwenyewe sijui basi mtamwambia PAW aiweke vizuri bana)
  20. Kigogo

    Uko wapi mbunge wangu Mrema?

    nimekukumbuka sana mzee wangu hasa siku ile uliposema mheshimiwa mwenyezi mungu...saidia mchakato wa katiba.....
Back
Top Bottom