Search results

  1. M

    Ariel Sharon 'kutoka' Hospitali hivi Karibuni !!

    Hebu analyse unachosoma kwanza Paragraph ya kwanza ilisema: "Mr. Sharon was born in Palestine in 1928, when it was ..." Paragraph ya tatu ilisema: "The 82-year-old has been in a coma since 2006, when he suffered ..." Ndugu hmethod, we are in 2013 now. - For one who was born in 1928...
  2. M

    Sex jihad hii kitu ni balaa!!

    Hii trick hata katika "madaftari maalum ya tricks za ku-twist mambo kuupiga vita uislamu" haimo. Ni mpya wametungiwa na kiongozi wao, mpenzi wao shaitan, aliyelaaniwa. Kwa kifupi wameshamaliza 'tricks' zote na sasa wanachanganyikiwa, wamefulia, hawaelewi wafanye nini, shaitan ameshawafanya...
  3. M

    Arrest and Surrender Sudanese President al-Bashir to Us, ICC Tells US

    George Bush, Dick Cheney, Condoleeza Rice, Colin Powell, Donald Rumsfeld, Paul Wolfowitz, Tony Blair and list goes on ARE ALL WAR CRIMINALS. What does she intend to do about them? ------- wahed!!! Iraq invasion was based on lies; was not authorized by their own remote control, the UN; has...
  4. M

    CIA acknowledges role in '53 Iran coup

    What is happening in Egypt today? Anyone?? Enhe! Max-Shimba, we see you raise your finger to answer, very good. Before you answer can we introduce you to the class. Dear class, Max-Shimba is their emissary to our Jamii forums, the home of great thinkers. Let us hear his answer!
  5. M

    Nduguzangu wamisri msikubali kuwekewa viongozi vibaraka

    Hii sio bahati mbaya bali ni mipango maalum. Wakati wa mwisho wao unakaribia na nasara (ushindi) wa Uislmau unasogea, ila ushindi ni lazima uje kwa watu walio wasafi. Alhamdullillaahi Mwenyezi Mungu anaisafisha kwanza dini yake kutokana na wachafu - wanafiki ambao walikuwa wanajifichaficha...
  6. M

    Saudi King Backs Egypt's Military

    Ee Ehud, una wazimu kidogo au umelewa? Waislamu sio kama unavyotaka wewe wawe, wanajua nini kinaendelea.
  7. M

    Jibu la mugabe kwa mwandishi wa uingereza..

    Pamoja na hayo! - Amekuwepo kwenye madaraka ya head of state kwa zaidi ya nusu karne, vile vile - Ni symbol ya oppression wa enzi za kikoloni ulioshamiri around the globe. Maafa yote ya ukoloni wa Waingereza katika sehemu mbali mbali ulimwenguni waliyafanya ili kumridhisha king au queen...
  8. M

    Wananchi 200 wauawa nchini Misri asubuhi hii

    Ni kiini macho kilichopitwa na wakati kwamba eti "siasa na dini hazichanganyiki". Ukweli ni kwamba masuala yoooote yanayohusu maisha ya mwanadamu kama siasa, uchumi, utawala, ujeshi, nk, nk, yoooooote yana chanzo chake katika dini. Isitoshe masuala yote haya yanapelekea kuwa mema pale...
  9. M

    Pope: 'Who am I to judge' gay people?

    Kubaliana nae sasa hivi, usije ukatafuta pa kutokea baadae, utakuja kushitukia mlango umeshafungwa, na too late. Hivi wewe ulitegemegea moja kwa moja aanze na gia kali?? mfano aseme moja kwa moja uchafu huu ni halali?? Soma Biblia yako utaona kwamba haisemi kwamba AntiChrist atakuwa mjinga...
  10. M

    Pope: 'Who am I to judge' gay people?

    Wakristo wameghafilika katika kumtambua AntiChrist, kawabana huku na huku katika sura ya viongozi wao wa kidini na wa viongozi wao kisiasa, woooote wanawaongoza kidogo kidogo katika maovu makubwa mpaka waingie woote pamoja motoni. Kwa upande mwengine vilevile wameghafilishwa na kufanywa kuwa...
  11. M

    Ni mauwaji ya kutisha huko Misri

    Kwa hiyo kwa pamoja idadi inakuwa ni 100,040 (laki moja na arubaini) waislamu waliouliwa na maadui wa uislamu, iwe Egypt au Syria. Hapa bado hatujasema sehemu nyengine.
  12. M

    Snowden 'arrives at Moscow airport from Hong Kong

    Nafikiri tunapoteza muda mreefu kuzungumza yasiyo na maana juu ya jambo hili, na nafikiri hii ni aina nyengine ya ujanja wa waMarekani na waMagharibi wenzao kupigia tarumbeta saaaana habari zinazohusiana na mtu (mfano Snowden na Assange) ili ku-redirect attention mpaka za wenye akili badala ya...
  13. M

    Mkataa asili yake mtumwa!!!

    Wafanye njia ipi tena iliyobakia ili wapate kutoka katika huu Muungano??? Na kama sababu zenyewe ni hizi, kwamba ukivunjika nyinyi mtapata faida na wao watapata hasara, kwanini tena muwashikilie kwa lazima ndani ya Muungano? wakisema wanatiwa ndani, wakiandamana wanapigwa risasi, taabu juu ya...
  14. M

    Mkataa asili yake mtumwa!!!

    Ongozaneni wewe, Mtikila, CCM, nyooote mkanzishe valangati Butiama angalau muwasaidie waZanzibari katika harakati hizi. Nendeni kule na machepeo/mapauro yenu na toeni kipindi cha wiki moja tu, msipopata Tanganyika yenu fukueni kaburi!!!, na anayekuja kukusimamisheni piganane nae. Kinyume na...
  15. M

    POPOTE WALIPO NI SHIDA(in english)

    1. Believing that there is no deity worthy of worship but Allah (God) "Say, He is Allah (God), One and Only. He (God) is Eternal, Absolute. He (God) neither begets, nor was He (God) begotten. And there is no one (nothing tangible, imaginable) like unto Him (God)" This is not only The Truth...
  16. M

    Tuwahishimuni jamani wazazi

    Inaonekana bado hujapata mtoto/watoto wako mwenyewe, vipi kuhusu wadogo zako kwa wazazi wenu, hujawaona kufanya hivi? Mwenyezi Mungu akujaalie kizazi (watoto) walio wema, inshaAllah. Haya ni ya kawaida mtoto kucheza namna hii wakati mzazi/wazazi wamo ndani ya sala. Hassan na Hussein, wajukuu...
  17. M

    Woolwich Terror attack: two suspects shot after man killed near barracks

    Haki za binadamu ni baina ya wote aliyedhulumiwa(aliyeuliwa) na dhalimu (muuaji) na hakimu ni Mwenyezi Mungu aliyeumba roho. Kuuwa kwa mkausudi kunajulikana na kuuwa kwa ajali au bila ya kukusudia kunajulikana Nafasi ya Mafunzo/mafundisho kuhusiana na makosa yoyote yale, yawe ya jinai au madai...
  18. M

    Woolwich Terror attack: two suspects shot after man killed near barracks

    Sokwe!!! roho pale imepotea, na upande mwengine roho nyengine zinapotea kila usiku ukicha. Sababu mojawapo ni maneno (ushahidi) wa kuzua ili kuamsha hisia za watu fulani dhidi ya wengine. Hakikisha unayoyasema katika mazingira ya namna hii ni yale uliyoyashuhudia 'kama ulikuwepo eneo la tukio'...
  19. M

    Woolwich Terror attack: two suspects shot after man killed near barracks

    Imeeondoka lini? Wanaoipigia makelele iondoshwe ni nani? unafikiri ni kwanini?
  20. M

    Saudi Offers “Castrated African Slave” for Sale on Facebook ...

    Black Uhuru, it seems that you are prepared to do anything criminal and tell any concocted lies just to rip little, temporary, mere worldly gain. What is that you want people (Muslims) to argue with you? 1. First, concocted story of a lie that you have made to look and sound like a truth. Do...
Back
Top Bottom