Search results

  1. Mzee Rix

    Askofu ambomoa Dk. Slaa, amuonya na dhambi ya uzinzi!

    Maandiko yasema: Usihukumu nawe usije hukumiwa! Hata ungekuwa nani, andiko hilo linakuhusu! Yamkini huyu Dr.Slaa alishakuwa na nia njema ya kuoa lakini mbinu za kumzuia zikawa lukuki hata hizo za kisheria ambazo sasa zimetupiliwa mbali! Tumuombe Mwenyezi Mungu ampe nguvu tena ya kukamilisha yale...
  2. Mzee Rix

    Ghorofa la Bernald Membe - Wizi Mtupu

    Tuache mawazo finyu na fitina zisizo na mipaka kwa kila anaefanya maendeleo kama haya! Kwanza kawekeza nyumbani! Pili vyanzo vya fedha za miradi kama hii vipo vingi! Kwa mtu aliyevuka mipaka ya Nchi yetu kama yeye anao ufahamu mkubwa wa kupata uwezo huo! Tusiwe kama mbuzi anaeishia urefu wa...
  3. Mzee Rix

    Hii Picha Ina Tafsri Gani??

    Wagombanao ndio wapatanao! Huyu Mama kiukweli hana bifu na Dogo Janja! Hii kesi ni vijimambo tu!!Hata waheshimiwa Majaji walishaliona hilo ndo maana wakawekwa pamoja! Nia ni kuondokana na uhasama baada ya kilio cha mkosaji kusikika! Utaona hata hao Waheshimiwa Majaji hawakutoa kibano kwa...
  4. Mzee Rix

    Hodi hodi ukumbini!

    Nami nimeona nije walau tuchangie mawazo pamoja wans jamvi! Kuna kitu kimenikuna sana! Watanzania tumepata Uhuru huu lakini tumeanza nao kwa kulaumu kila kitu! Hata mtu akimchangia mgonjwa aende Hosp. ni issue! Mmh!
Back
Top Bottom