Search results

  1. B

    Uchimbaji wa Kokoto Gezaulole, Kata ya Sumangila Inazidikuteketea: RC, (DC - Diwani ???) Mnafanya nini?

    Serikali ya Nchi yeyote dunia ina mkono mrefu sana kuliko mtu yeyote, lakini Tanzania bado inapambana na mapungufu makubwa sana pamoja na JPM kuwa ni kiongozi ambaye amekuja na msemo wa Hapa Kazi Tu lakini naona kazi inamshinda kwani wa-TZ ni kichwa cha wendawazimu kwani watumishi wake...
  2. B

    Madudu ya Mradi wa Miwa wa Mkulazi unaosimamiwa na PPF na NSSF

    The Minister of State in the Prime Minister's Office (Policy, Parliamentary Affairs, Labour, Employment, Youth and the Disabled), Ms Jenista Mhagama said that the project will closely involve farmers in Morogoro and Coast Regions creating over 100,000 jobs. “Apart from the immense benefits to...
  3. B

    Ukomo wa Mifuko Mitano Tanzania Bara ni Machi, 2018; PSPF na NSSF pekee kubaki

    Ukomo wa Mifuko Mitano ni Machi, 2018 na Mifuko miwili kuimarishwa au kudumishwa na ambapo idadi ya wanachama, madeni, makesi au madudu yeyote kutoka mifuko mitatu hiyo kukabidhiwa kuridhiwa na mifuko miwili yaani PSPF na NSSF. Kwani Tarehe 6 Novemba 2017 mifuko hiyo mitatu imepewa amri ya...
  4. B

    Usalama wa Raia na Mali Zao Bado ni Shida Kubwa

    Wananchi wa Tanzania tangu kupata mwaka 1961 waliweza kuishi kwa amani zaidi na raha katika awamu mbili ambapo raia na mali zao waliishi kwa usalama zaidi kuliko awamu ya tatu, nne na tano. Kwani awamu ya pili ya Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi, chini ya Waziri wa Mambo ya Ndani Augustino...
  5. B

    Watumishi wa Haki za Tume za Binadamu ni Wakala wa Nani?

    Katika hali isiyo ya kawaida na kwa mshangao mkubwa Tume ya Haki za Binadamu inafanya kazi za kuitetea Serikali au Mashirika ya Umma punde mtumishi akipeleka malalamiko juu uonevu mfano mateso, mapunjo ya mafao, mshahara na kauli mabaya na poor governance . Lakni punde utakapojaribu kuangalia...
Back
Top Bottom