Search results

  1. Moyibi

    Matokeo ya mchujo TAKUKURU: Let's be honest with each other

    Kwa hiyo TISS wao wanalipwa M2.1 [emoji12][emoji12][emoji12][emoji23][emoji1787][emoji1787] wewe dogo fala sana.
  2. Moyibi

    Matokeo ya mchujo TAKUKURU: Let's be honest with each other

    Hata mimi nimeshangaa yaani hawa walipwe 2M, hiki ni kituko kama vituko vingine tu..
  3. Moyibi

    Matokeo ya mchujo TAKUKURU: Let's be honest with each other

    Mshahara wao uko pccb ni tsh ngapi? Naona watu wanapigana vikumbo kupata nafasi huko
  4. Moyibi

    Matokeo ya mchujo TAKUKURU: Let's be honest with each other

    Mshahara wa hawa PCCB ukoje? Mbona vijana wanalia sana na ajira zao
  5. Moyibi

    Upande wa utetezi waweke pingamizi la kupokelewa ushahidi wa Denis Urio hadi wajiridhishe majina yake, zipo taarifa mitandaoni zinadai huyu siyo Denis

    Haileti nantinki? Hata mbowe kashindwa kuwambia ya kwamba huyu ni Denis Urio kweli?
  6. Moyibi

    Kuitwa Kwenye Usaili wa Awali Taasisi ya kuzuia na kupamabna na rushwa (PCCB)

    Tunaomba dokezo la mtihani wa aptitude test jinsi ulivyokuwa boss
  7. Moyibi

    Hii sura sio ngeni machoni petu

    Akipakwa rangi nyeusi ataonekana kama Hayati John Magufuli
  8. Moyibi

    WANACHUO Mkimaliza CHUO rudini Kwenu Mnatusumbua sana huku MTAANI Mmezidi Kuwa Omba Omba

    Kuna mmoja namsulubu hapa, asipoondoka na mimba sijui..
  9. Moyibi

    Lupatu: Kinga dhidi ya wachawi na uchawi

    Mama yako mchawi pia sema alikuwa anaogopa kuchezea uchawi wake sehemu uliopo maana angejaribu kama ndugu zake angekwenda na maji.
  10. Moyibi

    Kuku kuchi hawa ni original?

    Yes huyu ni mwenyewe. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Moyibi

    Yuko wapi TIBAIGANA?

    Bila shaka ulihudhuria harusi ya binti yake iliyofanyika pale oysterbay katika ukumbi wa saint peters church... Alikuwa mzee wa amani sana Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Moyibi

    Selfika na JF: Snap it. Show it

    Vijana tutafute pesa, hakuna mdada wa kiafrika atapenda six packs zako mbele ya maisha mazuri. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Moyibi

    Professor Assad Asimulia alipokuwa

    Zitto ni malaya wa kisiasa tu, huko alipo sijui atakuwa kaweka wapi sura yake yeye na kigogo... Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Moyibi

    Zitto usipoacha uzushi Karma itakucharaza kama inavyowacharaza CHADEMA

    Siku yake yaja atakamatwa tu. Hana muda mrefu.. Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Moyibi

    09 Dec, 2019: Maadhimisho ya siku ya uhuru wa Tanganyika. Wafungwa 5,533 wapata msamaha wa Rais. Mbowe ataka maridhiano ya Kitaifa

    Mimi kwa akili yangu naona alimaanisha Mh. Rais aongoze miaka 10 tu. Ambapo ikifika 2025 ndio kikomo chake... Asije akapata tamaa ya kuongeza miaka mingine kumi... Kwa kuwa Raisi Wangu ni msikivu, mpenda haki, amani na demokrasia ifikapo mwaka 2025 ataachia kiti kwa mwingine... Na imani Kwa...
  16. Moyibi

    Trend reading zaonyesha Tanzania njema kisiasa, Rais Magufuli is changing for the better!. Je, soon kukaa na wapinzani, kuruhusu mikutano ya siasa?!.

    Kwa kazi anayofanya Mh. Rais ni vyema vyama vya upinzani vikamuunga mkono, hakuna haja tena ya kukosoana nchi inaenda vizuri...
  17. Moyibi

    Trend reading zaonyesha Tanzania njema kisiasa, Rais Magufuli is changing for the better!. Je, soon kukaa na wapinzani, kuruhusu mikutano ya siasa?!.

    Wapinzani wameona mbali mno maana katika uchaguzi mkuu ujao wa 2020 wapinzani walikuwa wanapoteza majimbo yao yote mbele ya CCM... Kwa upande wangu naona CHADEMA wameangalia ugali wao mezani, na ni ya kutafuta suluhu kwa Mh. Rais ni janja yao ili chama kiendelee kubaki maana baada ya uchaguzi...
Back
Top Bottom