Search results

  1. Tangopori

    Utafiti: Uwezekano(Probability) wa mtu kuoa au kuolewa

    Baada ya kufanya utafiti na kuridhika nao sasa tumeamua kuutoa mbele ya watanzania! Kama hujui hesabu hasa probability sasa iko hivi, probability ni uwezekano wa kitu fulani kutokea sasa leo tunaenda kuzungumzia uwezekano wa mtu kuolewa au kuoa: WANAWAKE 1. Ukiwa una tabia nzuri ila shape na...
  2. Tangopori

    Wameru, Hili lina ukweli wowote?

    Kwa upande wangu naona ni watu tu wameamua kuwaponda kinadada wa Kimeru.
  3. Tangopori

    Utafiti: Wanachozungumza wanapokutana wanaume wanne Vs wanapokutana wanawake wanne

    Utafiti ni kutoka kwenye gazeti la Mwananchi Wanapokutana wanaume wanne huzungumzia mpira na wanapokutana wanawake wanne huzungumzia wanaume Sijui huu utafiti una ukweli kiasi gani.
  4. Tangopori

    Diamond Platinumz worldtour schedule

    Hii hapa ratiba ya mtoto wa Tandale
  5. Tangopori

    [New song] Ekothee ft Diamond Sweet love

    Mdada wa Kikenya Akothee yuko njiani kuachia video yake na Diamond inayoenda kwa jina la sweet love. Hii hapa teaser ya video.
  6. Tangopori

    FIFA yaiagiza Etoile du Sahel kuilipa Simba dola laki 3 ndani ya siku 60

    Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) iliyokutana Disemba 15 mwaka jana, imeiagiza klabu ya Etoile du Sahel ya Tunisia kuilipa Simba SC ya Tanzania pesa za uhamisho wa mchezaji Emmanuel Okwi ndani ya siku sitini (60) kuanzia Januari 7, 2016. Katika taarifa hiyo ya...
  7. Tangopori

    Throw back time(TBT) East African Community

    Ni aibu kwa ATCL kwa kweli
  8. Tangopori

    Idadi ya wapiga kura kwa makundi ya miaka(age groups) 2015

    Kuna kila sababu ya chama kinachotaka kushinda kuinvest kwa vijana
  9. Tangopori

    Mazungumzo na Mkenya juu ya uchaguzi wa Tz

    Caroline Kiyoki: Niaje James? James: Poa Caro, za Kenya? Caroline Kiyoki: poa. You are lost au uko kwa campaign ya Tz? James: hapana, Caroline Kiyoki: Ati nikuulize kitu? James: Yap! Caroline Kiyoki: ati huko tz ako na mgombea wa urais hana wife? Sijui ccm? James: ndiyo, wameachana...
  10. Tangopori

    Second selection TCU tayari!

    Ingia then view selection status ukikuta hivi ujue umechaguliwa!
  11. Tangopori

    Haya wale wa second round Mambo tayari

    Ukifungua inadisplay ifuatavyo **************************** Update: Kwa wale waliofanya 2nd round ndo watanielewa hiyo text imeappear from today kabla ya hapo kilichokuwepo ni list inaoonyesha kozi tano ulizochagua! -kosa walilofanya ni kudisplay ile text ya waliopata first round bila kuiedit...
  12. Tangopori

    Picha: Mwigulu akiwa jimboni Arumeru Mashariki

    Akiwa eneo la leganga karibu na Usa-river
  13. Tangopori

    Magufuli: Natambua kuna ambao ni wanaCCM mchana halafu usiku ni wapinzani!

    Magufuli amesema anatambua kiwa kuna wanaomuunga mkono mchana na ikifika usiku wanawaunga mkono wapinzani! ========================== CHANZO: NIPASHE
  14. Tangopori

    Nisaidieni hili kuhusu TCU second round selection

    Wakuu kuna mdogo wangu aliniomba nimsaidie kuapply chuo education ya science nikamsaidia, Juzi nikafungua nikakuta hajachaguliwa first round so nikatakiwa kufanya second round application, cha ajabu katika kufanya second round application nimekutana na zilezile kozi nilizoapply 1st round kwenye...
  15. Tangopori

    Ahadi ya zahanati za Dr. Magufuli, ukweli huu hapa...

    Inabidi atueleze hizi fedha atazipata wapi ndani ya miaka mitano na bado barabara zijengwe, watumishi walipwe mishahara, kila kijiji kipate 50M e.t.c Au ndo atakimbilia kwa wafadhili akiondoka deni la taifa liwe limefikia 200Trillion? Sawa na baba wa familia ajivunie kuijengea familia nyumba ya...
  16. Tangopori

    Joseph Haule(Professor Jay) azindua kampeni mikumi

    Picha za uzinduzi wa kampeni!
  17. Tangopori

    Lowassa aamua kukimbia kuonesha kuwa yuko fiti

    Hiyo hii imetokea jana!
  18. Tangopori

    Members only!: Lulu ni shida!

    Haya bana
  19. Tangopori

    Asante sana Shamsa Ford, UKAWA tusonge mbele

    Unajitambuaaa
  20. Tangopori

    Sikujua kumbe UKAWA kuna mambo mazuri hivi! Mashallah!

    Sihami Ng'ooo
Back
Top Bottom