Search results

  1. G

    Wana Gangilonga mpo?

    kwa kweli leo mmenikumbusha mbali,nawakumbuka Mondi,venance Mwangungulu,may July mgonja na dada yake.
  2. G

    Kongamano la akina Butiku na wenzie - kijiwe cha malalamiko

    Kwa kweli nchi hii inakwenda kubaya mtu akitoa maoni anaangalia maslhi yake hata wale waliokusanyika pale kujadili mustakabali wa nchi ukiangalia historia yao walikuwa na mgombea wao,mm kama mimi namchukia MAKAMBA
  3. G

    Elections 2010 Kuelekea Uchaguzi mkuu CHADEMA Sept. 2009

    kwa kweli nimesikitishwa na kitendo cha kumshinikiza Zito asigombee uenyekiti huku ni kuinyonga demokrasia.Lakini kikubwa kilichonisikitisha ni kusoma majina ya wale wanaoitwa wazee wa CHADEMA kama nikweli ni hao basi chama kina safari ndefu unless yale majina yawe siyo yenyewe.Ymetajwa majina...
  4. G

    CCM yanguruma Busanda; Wapinzani chali!

    Tatizo la vyama vyetu vya upinzani vinahhirikiana kwa maneno lakini inapofikia kupractice kwa vitendo ni F.Nimekerwa sana na vyama vya upinzani kuwa na mgombea zaidi ya mmoja kama wangeshirikiana wangweza kuiangusha CCM.Naomba waanze kujifunza kutokana na hili la BUSANDA
Back
Top Bottom