Search results

  1. M

    Dar es Salaam - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Ukweli vijana wamejitokeza wengi! Hata hivyo bado ni mapema kusema kila kijana anajielewa
  2. M

    Fideline Iranga amekuwaje?

    Naona yuko poa tu! kupanga ni kuchagua
  3. M

    Mmoja wa wanawake wa mfano, huyu hapa.

    ni kweli kwa dunia ya leo ni wanawake wachache ambao wana tabia kama hiyo, huyo Hidaya ni wa aina yake, ni mchamungu
  4. M

    Video Ya Gadafii akiuliwa

    Pamoja na ubaya ambao inasemekana kaufanya kwa waLibya, kuna mazuri mengi ambayo kayafanya na hakustahili kuuawa kinyama hivi!kuna siku watamkumbuka
  5. M

    Vichaa ndani ya ndege

    Huu ni utani na kwa kutabasamu tumeongeza umri
  6. M

    Kunyoa kwapa?

    Kunyoa kwapa ni muhimu na ni usafi kwa mwanamke na mwanamme, kwapa zikiwa ndefu hutoka jasho, hasa ukiwa busy huwezi kumbuka kila wakati kutia manukato hivyo bora kunyoa
  7. M

    Kwanini Wanawake wanakuwa wavivu kimapenzi katika Ndoa?

    mkiwa bado wachanga katika ndoa mwaweza kutana hata kila siku, lakini jinsi siku zinavyokwenda mtajikuta mnapunguza kukutana mpaka inaweza pita hata wiki na hatimaye mwezi msikutane. Ndoa inatakiwa ipaliliwe kwa kukutana mara kwa mara ndio ukaribu wenyewe, vinginevyo mnasahalianana hamu inakuwa...
Back
Top Bottom