Habari za saa hizi wana JF.
Naomba kwa yeyote anaejua dawa ya mtoto wa miezi kumi anatoa udenda.
Kuna mtu aliniambia nichukue kitumbua nikipake ule udenda halafu nimpe aidha Shangazi au Mjomba wa mwanangu ale hicho kitumbua, tatizo litakuwa limekwisha.
Nimefanya hivyo lakini tatizo bado...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.