Search results

  1. S

    Chemsha Bongo

    Onyonya Ukunonze is the right spelling.
  2. S

    ha ha ha weekend njema

    FL1 umeleta issue ambayo kwa kweli ipo, hasa kwa miaka hii ambayo ndugu zetu hawa vyuoni wanabuni njia mbadala za kufaulu, maana kusoma siyo option ambayo wangependa kuitumia. Kwa kweli inasikitisha, but the only way we can end this ni kuwa na that kind of professors.
  3. S

    Boss azidiwa ujanja.......

    Hapo jamaa kalizwa kweli.
  4. S

    Height of maths logic..

    Wewe lazima umesoma Mti safi. Hiyo terminology 'kicheche/vicheche/ucheche' ni ya kule.
  5. S

    Kwa wachaga tu.

    Aika mbe kanyi. Rema seri ya ufongo.
  6. S

    Laughter series: Smarter sex....?

    Yeye angemjibu sidanganyiiiiiiiiiiiiiiki
  7. S

    Inapotokezea mke au mpenzi wako kukwambia anavyonifanyia fulani hujawahi kunifanyia.

    Sawa nitataka anieleze (for the purpose of getting educated), but siwezi endelea kuchovya asali kama tayari jamaa mwingine anachovya. mwache aendelee kuchovyeshana na huyo jamaa
  8. S

    Wivu wa kupindukia

    I think pamoja na kuwa watu wana kaimani kuwa wivu kwa mwanamke suna, but wengine (kama huyo) wanapitiliza, kiasi cha kuanya tudhanie kuwa wana'pretend'. You travel on an official trip, then kila saa simu. Hadi inakuchelewesha kumaliza hizo duties. Matokeo yake unachelewa kurudi, to her...
  9. S

    Tujikumbushe UMBWE

    Huo mgomo ulikuwa 1998 na sio 1997. Ni katika maswala ya kuweka rekodi sawa tu.
  10. S

    Tujikumbushe UMBWE

    Msele aliondoka nadhani around 2003. He was a nice headmaster
  11. S

    Mohamed Mpakanjia is no more!

    Mungu naye anasoma humu?? Maana naona comment addressed to Mungu kuwa amsamehe
  12. S

    "I'll be back in an hour!!"

    Kaingizwa mjini na swahiba wake huyo
  13. S

    Bibi lakini kigori,....!!!!

    Mmh, na atakoma kweli
  14. S

    NBAA Aibu, asilimia 84 wafeli

    YoYo from what I read in your comments it's like you want to make people believe that NBAA wana idadi au age limit ya watu kuwa CPAs. I'm not personally going to subscribe to that because I have done the exams myself and I had to change my original position on the matter. hata mie nilikuwa na...
  15. S

    NBAA Aibu, asilimia 84 wafeli

    Licha ya mapungufu ambayo yanaweza kuwa ya kimfumo [systematic] katika hili, nadhani ni vema pia tuangalie upande wa watahiniwa wenyewe wa mitihani husika. Wengi wa watahiniwa [hasa wa final stage modele E and F] ni wahitimu wa vyuo vya elimu ya juu. Hawa ni watu ambao wakiwa vyuoni husoma...
  16. S

    Tujikumbushe UMBWE

    Kichankuli naona unapotosha ukweli katika post yako. Mikondo miwili ya ECA pale MTI SAFI haikuanza 2001 kama unavyosema. Sie tumemaliza hapo kabla wewe hujaanza na ilikuwa miwili. In fact sidhani kama iliwahi kuwa mkondo mmoja tangu a-LEVEL ya ECA ilipoanzishwa Umbwe, kwenye mid 1980's. Halafu...
  17. S

    Daddy's 10 rules of dating

    Duh, haya masharti si afadhali uachane tu na huyo binti??
  18. S

    Tujikumbushe UMBWE

    Chaaz Nyangi tupo naye hapa jijini, anaishi Sinza kwa Remmy. So ulimaliza na kina shanel?, sie tulimuachia dorm 5 mwaka 2000.
  19. S

    Tujikumbushe UMBWE

    Unamkumbuka Shehe B. Musa?, alikuwa kwenye misosi na Karata. Je Kentigen?, alikuwa mbishi kinoma. Dom 5 lilikuwa linaongoza kwa watu kupenda kula maini [maharagwe ya jana] na uji asubuhi. Yaani ukipiga hayo hata kama bili ya katizi kwa mama msele imeisha huna stori.
Back
Top Bottom