Search results

  1. Nilufer

    Masanja atua EFM

    Tukiwa bado tunashangaa uhamisho wa watangazaji kadhaa wa EFM akiwemo Maulid Kitenge. Leo Majizo kajibu mapigo kwa kumsajili Masanja kutoka wasafi.
  2. Nilufer

    Hivi Marekani yenyewe haiwezi kuwekewa vikwazo?

    Nimekuwa nikisikia kuwa Marekani inaweka vikwazo kwa nchi zingine ikiwemo hata China na Urusi. Sasa nauliza je haiwezekani nchi kama hizo zikaiwekea Marekani na yenyewe vikwazo ili ngoma iwe droo?
  3. Nilufer

    Rais Kikwete alikuwa anaajiri kila mwaka, yeye alitoa wapi hela?!

    Kila kitu kinajulikana kuwa tunataka ajira. Kwa nini JK yeye alikuwa anaajiri kila mwaka hususani walimu wote arts na sayansi pia na madaktari!! Haijawahi kutokea mwaka wowote walimu wakazulula mtaani kisa hawana ajira. Huyu mtu amekuja kupiga pini ajira lakini ikumbukwe mwalimu hana option...
  4. Nilufer

    Mchungaji Mwaiposa na uuzwaji wa “Maji ya Baraka” ni wizi mtupu

    Leo nimeenda Kwa mchungaji Mwaiposa pale Tanganyika peckers Kuna wizi mkubwa Sana watu wanaibiwa kiujanjaujanja tu. Eti unalazimishwa kununua maji ambayo ameingia ubia na kambuni Fulani kisa ameyabariki wakati anapiga. Tena unauziwa Kwa bei juu. Kwa nini mtu asije na maji yake ili kweli...
  5. Nilufer

    msaada please!

    Hivi wale walinzi wa ikulu ya magogoni night Jwtz au au ni jeshi gani mana wanavaa Mabaka Mabaka lakini tofauti na ya jwtz
  6. Nilufer

    Baba mtakatifu, Papa Francis apata mashaka kutokana na kauli ya Trump ya kutambua Jerusalem kama mji mkuu wa Israel

    Wanajamvi kama kichwa kinavyoeleza, Baba Mtakatifu amelaani vikali kauli hiyo na kuiita kuwa ni uhayawani kudhani kuwa America inaweza kuamua kila kitu na kuwanyanyasa Wapalestina. Ikumbukwe kuwa Wakatoliki na Wayahadi haziivi kabisa na Ukatoliki pia ni threat kwa Marekani ndiyo mana Marekani...
  7. Nilufer

    Corruption is a cancer, is a disease and if at all you are there to fight the disease, you must fight seriously

    actually let me just to add something. corruption is a cancer, is a disease. and if at all you are there to fight the disease, you must fight seriously. if you go it slowly, you can't fight that disease. so the best way is to make sure that you destroy all this disease which is actually is...
  8. Nilufer

    Faiza Ally aicharukia shule anayosoma mwanae pamoja na Mheshimiwa 'Sugu'

    Yule mwanadada machachari na ex wa Mbunge maarufu kutoka mkoa wa Mbeya, Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu ameibuka na kuicharua shule maarufu ya watoto wa kishua kwa kumrudisha mtoto nyumbani kisa anadaiwa laki moja ilihali yeye mzazi ameshalipia kiasi cha milion mbili taslim. Kama kawaida yake...
  9. Nilufer

    Nchi zingine zina create opportunities watu wake wapate biashara sisi tunaua biashara

    Hii inaninsikitisha sana kila siku. Wakati serikali za nchi zingine zinacreate opportunities watu wake wapate biashara na deals ili wajikomboe kimaisha sisi huku serikali inastrugle kuharibu au kumaliza biashara na wanajisifu kwenye majukwaa kuwa wamekata biashara na wamewakosha. Maskini Tz...
  10. Nilufer

    Eti deals/biashara zikikosekana au kuharibika serikali hii ndo inafurahi

    Hii inaninsikitisha sana kila siku. Wakati serikali za nchi zingine zunacreate opportunities watu wake wapate biashara na deals ili wajikomboe kimaisha sisi huku serikali inastrugle kuharibu au kumaliza biashara na wanajisifu kwenye majukwaa kuwa wamekata biashara na wamewakosha. Maskini tz...
  11. Nilufer

    Tundu Lissu ataka Rais Magufuli asusiwe kila mahali na mataifa mengine duniani

    Mbunge wa Singida Mashariki amefanya mkutano na waandishi wa habari akimtuhumu Magufuli kwa mambo mengi na kutaka asusiwe kila mahali. Amesema mataifa ya nje yanayompa hela Magufuli yamsusie Magufuli na kutompa pesa za kuikandamiza Tanzania. Kujenga uwanja wa ndege Chato ni kama Mobutu Seseseko...
  12. Nilufer

    Trump atoka kwenye mkutano wa G20 na kiti kukaliwa na mwanae. Kisa utawala mbovu wa viongozi Afrika

    Rais wa Marekani, Donald Trump juzi alitoka nje ya mkutano wa G20 huko Berlin, Ujerumani na kiti chake kukaliwa na mwanae wa kike Ivanka Trump pale ulipofika muda wa kujadili masuala ya Afrika na ajenda hiyo ilipomalizika alirejea mkutanoni, na kudai hawezi kupoteza muda kuwajadili watu...
  13. Nilufer

    Ushauri wangu kwa Rais Magufuli

    Ushauri wangu kwa Rais Magufuli. #Dr.Vincent Mashinji Katibu Mkuu CHADEMA-Taifa. "Naomba uufuatilie ushauri huu kwa makini kwa faida ya wote. Lengo ni Taifa kuwa na uchumi imara. Mosi: Kamata wana siasa wote wa upinzani wenye nguvu na uwabambikie kesi. Kisha wafunge huku ukiharibu uwekezaji...
  14. Nilufer

    Hizi ndizo Nchi zinazotamani Rais Magufuli angekuwa kiongozi wao

    NCHI ZINAZOOMBA KUONGOZWA NA MAGUFULI 1.Kenya mpaka kesho wanaonesha hali ya juu sana ya kumkubali MAGUFULI, Na wamekuwa wakituma ujumbe Mara kwa Mara kupitia ukurasa wa rais wa Kenya Mr uhuru Kenyatta, kuwa MAGUFULI njoo utuondolee ufisadi Kenya 2. Colombia. Hii ni nchi maarufu sana dunian...
  15. Nilufer

    Mambo 20 usiyoyajua juu ya Rais Magufuli

    MAMBO 20 USIYOYAJUA JUU YA MAGUFULI 1. Magufuli ameandikwa kwa lugha 134 kwa mwaka jana katika nchi mbali mbali dunian 2. Magufuli Ana uwezo wa kukariri namba 22, kwa wakati mmoja, craming capacity yake iko 89% , wakati normal craming capacity ya binadamu ni 62% 3. Magufuli aliwahi kuanguka...
  16. Nilufer

    Lawyers are the most learned

    Kabudi has said "lawyers are the most learned" because they don't define terms but they enterprete them. Is this true guys?
  17. Nilufer

    Zitto apingana na Mnyika na Lema

  18. Nilufer

    Marathon na valentine day

    Hayo yameanzishwa na kanisa katoliki wengine wanafata tu bila kuelewa wakati origin yake ni Vatican. Marathon imetokana na neno Mariathon ikiwa na mana ya pale mama maria alipomkimbiza mwanae yesu mpaka misri ili asidhuliwe na herode. Hivyo imekuwa modified tu na kuitwa marathon while...
  19. Nilufer

    Bene curere z extrevian

    Anaandika kaka yangu sheikh Abuu Khaliil Mwambieni. Tumesikia kuwa amesema kuwa iddi ni juma tatu, ikiwa ni kweli maneno hayo yana maana hizi. 1. Hakuna haja ya kuangalia mwezi kwa kuwa siku ya iddi ishajulikana. 2. Hata ukionenakana hautatangazwa. 3. Lazima watu wafungue kwa mujibu wa...
  20. Nilufer

    Huu ndio mwisho wa Jonas Malhero Savimbi maarufu kama "Savimbi a' fantoche".

    HUU NDIO MWISHO WA JONAS MALHERO SAVIMBI MAARUFU KAMA "SAVIMBI a' FANTOCHE". Copyright reserved C&P NA Comred Mbwana Allyamtu Jonas Malheiro Savimbi, Moja ya Vibaraka wa karne hapa Afrika,.Wakati ule Augustino Neto na MPLA wakiwa wamefanikiwa kuikomboa Angola kutoka kwenye Ukoloni wa Wareno...
Back
Top Bottom