Search results

  1. Nilufer

    RIP Gadner G. Habash, ila wengi waliokuja kwenye msiba wako hawakuja kuomboleza, walikuja kutikisa ili wa-trend

    Yeye ndio hata kutajwa hatajwi. Sijui baada ya utambulisho ule walipotezana!!
  2. Nilufer

    Hivi marehemu Gadner G Habashi alikuwa na mtoto mmoja tu ambae ni malkia Caren?

    Nakumbuka Gardner alisema amechukua vipimo na vimeonesha kwamba, Binti ni wake. Lkn tangu msiba umetokea Binti is no where to be seen. Halafu kama utakumbuka Karen alimkataa dadake hadharani kule insta.... Unajua mtoto wa kumjua ukubwani hata ku bond naye inakuwa kazi ngumu.
  3. Nilufer

    Hivi marehemu Gadner G Habashi alikuwa na mtoto mmoja tu ambae ni malkia Caren?

    Huyo Binti Gardner alimpost insta kama miaka 2/3 iliyopita akasema kwamba amefwata na huyo Binti na kudai Gardner ni babake. Hivyo Gardner aliamua kufanya vipimo na vipimo vilionyesha kweli ni damu yake. Ila inaonekana Karen hakukubaliana na hilo na hakubaliki ujio wa dadake. Baada ya pale...
  4. Nilufer

    TANZIA Gardner G Habash mtangazaji wa Clouds Media afariki dunia

    Alikuwa ana host event ya umiss kati ya miss IFM au Miss TIA sikumbuki vizuri. Alisema amemkojoza kwa zaidi ya miaka 15.
  5. Nilufer

    TANZIA Gardner G Habash mtangazaji wa Clouds Media afariki dunia

    Kazi ya Mungu Haina makosa. RIP
  6. Nilufer

    Meli ya Maman BENITA yazama ikiwa na abiria 26, aonekana 1 tu

    Mbona lugha nyingi tu zinabadili matamshi na spelling za majina mkuu Mfano Kiswahili tu nchi Kama America tunaiita Marekani, Mozambique wenyewe sidhani Kama wanajua nchi yao inaitwa Msumbiji. Kwenye majina ya watu ndio kabisa kila lugha Ina matamshi na spelling zake. Moses-musa Solomon...
  7. Nilufer

    Ndoa ya Marekani ya Mtangazaji Maulid Kitenge yadaiwa kuaota mbawa baada ya kumuoa Mbunge Nusrat Hanje

    Mmh sidhani Kama atashituka,pengine ndio Kwanza ataanza kuwazodoa wapinzani wa ndoa yake. Si unajua Tena "kusikia kwa kenge......"
  8. Nilufer

    Ndoa ya Marekani ya Mtangazaji Maulid Kitenge yadaiwa kuaota mbawa baada ya kumuoa Mbunge Nusrat Hanje

    Aisee zingekuwa nyingi... Njoo huku mtaani sasa vijana wanaoana balaa lkn ndoa hazidumu yaani pakishapatikana mtoto mmoja tu ndoa chaliii....ndoa zingine za msimu wa ramadhan, msimu ukiisha tu hamna ndoa.
  9. Nilufer

    Jina la pili la mwimbaji wa Injili Christina Shusho ni jina la nani yake?

    Kwani waziri wetu ile ndoa na yule mubaba waliokuwa wanajifukiza wote kipindi Cha mwendazake haipo Tena?
  10. Nilufer

    Dada wa Wema Sepetu akutwa na hatia ya utakatishaji fedha Marekani

    Kuna mmoja anaitwa tunu. Na mwingine Nuru.
  11. Nilufer

    Ndoa ya Marekani ya Mtangazaji Maulid Kitenge yadaiwa kuaota mbawa baada ya kumuoa Mbunge Nusrat Hanje

    Ila Kaka zangu wa kiislamu nini shida, yaani kutwa kuoa na kuacha. Sijui tutakuwa na kizazi gani jamani. Yaani kuanzia manara, masudi kipanya, na huyu maulid daah.ukija kwa diamond ndio hivyo Tena hata kuoa hataki. Ally kiba naye ndoa imeshamshinda. Hivi tunawafundisha nini watoto wetu...
  12. Nilufer

    TAHADHARI: Usichanganye pombe! Yaliyonikuta siyo poa

    Wapenda kamnyweso Wana balaa Hawa...😂😂
  13. Nilufer

    TAHADHARI: Usichanganye pombe! Yaliyonikuta siyo poa

    Wazee wa SAVE WATER, DRINK BEER a.k.a mbinguni hakuna beer, mnakunywa kabsa hapa hapa duniani. Tupo bega kwa bega na nyinyi Hadi pombe ziwauwe 😂😂🙏
  14. Nilufer

    Biashara za bakery, nafaka na vinywaji

    Weka mzigo mkuu! Hutaki kuwa tajiri 😂😂😂
  15. Nilufer

    Ni biashara gani ambayo huelewi faida wanapata vipi?

    Evelyn buku mbona kubwa sana, kuna watu wanafanya biashara faida kwa bidhaa sh. 200. Na mambo yanaenda tu. Mzunguko ukiwa mkubwa inalipa Mfano vinywaji vya jumla hakuna faida ya buku. Ni 200,300,500. Ila wanauza mpaka katoni 1000 kwa siku. Sasa fanya 200*1000. Mchawi mtaji tu na eneo zuri
  16. Nilufer

    Ni biashara gani ambayo huelewi faida wanapata vipi?

    Hapo hujakutana na Kaka tapeli 😂😂😂. Ila uwakala unalipa Kama una mtaji mkubwa na location yenye mzunguko mkubwa wa watu.
  17. Nilufer

    Viwanja vya starehe na burudani vilivyovuma sana ila leo havipo tena

    Yenu bar ubungo, ilikuwa kituo changu cha kupata chipsi kavu na soda nikiwa narudi home kutoka mizururo ya kariakoo. Kipindi hicho stand ya dala dala Bado ipo pale ubungo maji
  18. Nilufer

    Nisipost chakula na nisile mbele yako kisa jirani umefunga? Ni wazi unajilazimisha kushinda njaa wala hujafunga kwa imani

    Kuna mtu alinikuta nakula akaniambia eti huoni aibu kula hadharani....nikacheka tu. Yaani ninunue chakula kwa hela tangu halafu nijifiche kisa Kuna mtu kafunga...no way..
  19. Nilufer

    Huyu Mfalme Charles ana dharau sana au anamaanisha nini?

    Tena mpumbavu haswa! Amesababisha watu wanaotumia left hand wanyanyasike bila sababu....unakuta mtoto anapigwa kisa anatumia left hand.
Back
Top Bottom