Search results

  1. M

    ATCL: Another Richmond!

    Ndege zimekua grounded sababu ya madeni kuzidi. Tupo tu tunang'aa macho airport. Hatujui hatima yetu. JF munafahamu hiyooo???? Wako wapi waandishi wa Tanzania?
  2. M

    Magari ya Zimamoto fedha za BoT?!!! EL!!!??

    Jamani haya magari ya zimamoto ndiyo yale yaliingizwa na dogo, Lukaza wa Kernel? yule anayehusishwa na BoT, EPA? Je, si ndiye aliyekwenda Monduli kuchoma nyama siku mbili kabla ya Chrrimas, Desemba 23? NAULIZA TU MAANA NASIKIA HARUFU MBAYA. SIPENDI KUSEMA HADI YANIUME...
  3. M

    Mengi vs Manji: Ukweli ni upi?

    Bora sasa hii mada ianze upya kujadiliwa,, kwani kesi ya MAnji na PCB imefia wapi? Kesi ya Manji na Import Support imefia wapi? Au ndio amesamehewa? Nasema hii ni hatari sana. Watanzania wanatafuta fedha za kujenga madarasa wakati kuna Sh bilioni 83 zimechukuliwa na kijana mdogo sana ambaye...
Back
Top Bottom