Search results

  1. ICHANA

    msaada wa MBA

    Habar za humu wakuu...naomba msaada kati ya MBA in finance,human resource and marketing ni ipi iko pouwa kwenye ajira na pia mshiko. mhusika ana advance diploma ya marketing miaka ya nyuma....hapa kati akapata ajira serikalin akasomea post graduate ya banking and finance .sasa anataka masters...
  2. ICHANA

    Msaada juu ya chafya

    Wana JF, naombeni ushauri kama kuna mtu amewahi kuwa na tatizo kama langu au hospital gani naweza pata tiba. Nina tatizo la kupiga chafya limenianza around miezi kadhaa sasa naona kama kero na huenda kuna tatizo sehemu. Nakuwa napiga chafya mfululizo hata kumi kwa wakati mmoja wakati mwingine...
  3. ICHANA

    Happy bday my mwekundu

    Ni miaka kadhaa siku kama ya leo nderemo za furaha kwa mama na baba mwekundu kumzaa mtto wao kipenz am happy and u know that mwekundu ,wish u happy bday my love I always pray all your birthday dreams and wishes come true. May your birthday be filled with sunshine, smiles, laughter, love...
  4. ICHANA

    Pillow talk: Nafasi ya elimu katika mapenzi

    Nitakuwa na pillow talk hapa MMU NAFASI YA ELIMU KATIKA MAPENZI Ni pillow talk tutaenda katika nyanja tofauti Everyone wellcome and watch Nitakuwa na kiwatengu
  5. ICHANA

    Happy birthday @mwekundu

    Wanajamvi wapendwa tarehe na mwez siku ya Leo mwakundu aliletwa duniani. Mungu akuongezee hekima na busara katika maisha yako Akupe maisha marefu yenye baraka Karibuni wote team bazaz ni team rafiki kusherekea Tized Kaizer Asprin Mndengereko Valentina Khantwe na mumeo Ntuzu Madam B...
  6. ICHANA

    Nauza printer HP 2025

    Wadau nauza printer HP leaser jet color 2025 Imetumika around mwez mmoja haina tatizo lolote Aliye tayar anipm
  7. ICHANA

    Mambo 12 yenye majina mengi ya mtaani

    Wanajamvi natumain muu wazima Uzoefu unaonyesha kuna vitu 12 venye majina mengi sana ya mtaani ambavyo ni 1.mwanamke- manzi, shery, demu, totoz, uzingizi wangu, baby, mchuchu...nk 2. Bangi- ganja, msokoto, rizim, dope, jani ...n.k 3. Tendo la ndoa - kugegeda, kutiana, kazana, lambani...
  8. ICHANA

    Why not us called PCCB for interview?????

    First polen wenzang ambao hamkuitwa...uuuups its so sad and its like movie you know what watu tulikuwa tunaisubiria kwa hamu ila tumepigwa chini hta kwenye shortlist hatuwepo.. .....is that true somebody kasema watu tulosomea fani ya marketing,education and sociology tumewekwa pending...
  9. ICHANA

    Msaada :rpesha ndogo ya ajabu

    hy..am gal of 28 yrs tatizo nimegundulika nina presha ndogo miez sita ilopita B/P 90/50 cku ya kwanza nilipopima bt kila nikipima inazid kushuka mara 70/40,80/50nk juzi nimepima ikawa ndogo hadi dr akataka niwekewe drip Ipande ila nikamwambia hapana cs kitendo cha kuniweka drip ntahis ndo hvyo...
  10. ICHANA

    USA visa msaada wanaJF

    Naombeni msaada juu ya visa USA kwani watu wananiambia ni ngumu kupata nimekwenda ubalozin hawajanipa majibu ya kutosha.mimi nina invitation latter na all cost ntalipiwa na huyo ndugu yang aliyeko kule
  11. ICHANA

    Naomba taarifa juu ya ajira za utumishi maafisa tarafa

    Wana JF naomben taarifa cz cjasikia kuitwa kazin wala interview tangia hyo may za maafisa tarafa na zile za june kulikon/?MWENYE TAARIFA ANIPE PLZ
Back
Top Bottom