Search results

  1. M

    Kirumbe Ng'enda yuko wapi?

    hapo kweli magamba wameonyesha rangi yao halisi, kuondoka makamba kwenye ukatibu mkuu dogo naye kafurushwa. Ila nasikia ni mwanae Mzee makamba, mzee alimzaa enzi hizo akiwa mwalimu wa UPE mikoa ya Kigoma kama sikosei
  2. M

    Kirumbe Ng'enda yuko wapi?

    Wanajamvi naomba mwenye taarifa anijuze alipo Kirumbe Ng'enda yule aliyekuwa katibu wa magamba mkoa wa Dar es salaam.
Back
Top Bottom