Search results

  1. C

    Njama za kuimega Sudan

    Waislamu wanaonewa? Be real!! Huu ni usemi wa Waislamu na ni njia ya kupenetrate kirahisi katika mambo ni kama jinsi ambavyo ukiona mzungu anataka kukuzingua then unamwambia "ARE YOU DOING THIS BECAUSE I AM BLACK?" basi anatia akili ni kiini macho tu lakini issue ya Sudan is about being African...
  2. C

    Utafiti wa REDET wampa KIKWETE 71% Dk. Slaa 12%

    Washikaji watapika sana data lakini when the time due hesabu zitakataa. Mimi nitabiri wakati huu sio wenyewe ila mabadiliko yataanza 2015.
  3. C

    April '09 Bomb Blasts in Dar (Mbagala) and responses

    Tunashukuru kwa Taarifa Boss.
  4. C

    The road towards 2010 Elections

    Mambo mengi yaliyotokea mikononi mwa JK lakini ni matunda yaliyo pandikizwa wkipindi cha maraisi waliopita na haswa kipindi cha Mkapa. Nadhani JK kama raisi ni mtu mpya kabisa na hatuwezi mshirikisha sana kwenye yaliyo toke a hivi punde kwani uraisi wake ni wa sasa na napo awali walikuwa...
  5. C

    Let's face it: Bongo Flava ni rubbish

    AMINIA BABAKE!!!
  6. C

    Let's face it: Bongo Flava ni rubbish

    Kwa mtu anayejua historia ya muziki wa Tanzania, na haswa miziki iliyowahi kuvuma kama Orchestra,Rumba, Taarabu na mingine mingi utaweza kuelewa ni kwa kiasi gani miziki hii ya zamani ilivyoweza saidia kutoa taswira mpya kwenye muziki huu wa sasa Bongo flava. Kwa ninavyoelewa mimi Bongo flava ni...
Back
Top Bottom