Search results

  1. khairun

    Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

    Pianikumbukwe. Timua Dar moro imesogezwa moro malotopora. Kwa kinapigwa mande kipande hiçho. Kitaisha ndani ya musa mfupi sana. Mahandaki ndio yalikuwa yanachelewesha kazinkuenda polepole
  2. khairun

    Azam yapoteza ubora wa picha

    Nimekuwa nikiangalia mechi za mpira wa miguu za tanzania kupitia king'amuzi cha azam kwenye Smat TV. Niliangalia mechia ya yanga na simba ya tarehe 12 July 2020 na mechi ya Yanga na Singida ya tarehe 15 July 2020. Zote zinaubora mbovu kabisa. Sijawahi ona obora wa hovyo kama kwenye picha za...
  3. khairun

    Hivi kwanini wachina wengi hapa nchini wana majina ya kikristo

    Huwa wanadesturi ya kujipa majina ya wakaazi wa nchi hiyo. Ndioo maana wengi tunaofanya nao kazi wanajiita john, salima etc badalanya lee, xhua etc.
  4. khairun

    Salama Condom Mbona hazipo Madukani?

    Tarehe ya ukomo wa mifuko ya plastic ipo karibu. Hivyo nawo wamesitisha uzalishaji kuendana na amri.
  5. khairun

    Tarehe 1 Juni, 2019 Hakuna Kutumia Mifuko ya Plastiki

    Tusisahsu kuwa na condom inatengenezwa na plastic. Kutumia nalo linaweza kuwa kosa kwa hiyo angalia usije ukakutwa nayo Sent from my GT-I9060I using JamiiForums mobile app
  6. khairun

    SGR Construction in Tanzania - UPDATES

    Jamani naona tumeacha kupeana update huku. Naoana geza ulole umehamia kule kwenye comparison kenya sgr na tz. Hebu na huku utupe update kaka.
  7. khairun

    Hoteli / Lodge nzuri jijini Tanga

    Kuna majestic gest ipo barabara 4 kwa barabara jamaa. Ndio hapo nahisi alimaanisha.
  8. khairun

    SGR Construction in Tanzania - UPDATES

    Kuna haja ya kuangalia uwezekano wa kutumia umeme badala ya diesel. Kama utapatikana umeme wa SGR basi na TAZARA Iwekewe umeme nayo kuondoa kupelea pesa nje ya nchi za kununua mafuta.
  9. khairun

    Diamond atangaza ujio wa Wasafi FM na Wasafi TV

    Ili apate return mapema aanzishe na bishara ya magazeti. Hiyo itwahi kumlipa kuliko hii ya tv na radio.
  10. khairun

    Ushauri: Nataka nikope 10millions niache kazi serikalini, ili nijiajiri

    Pia lazima ujue hiyo pesa unayopata ni mkopo utakalipwa na kitu gani?, sio huo mshahara ndio utakalipa huo mkopo?. Fanya biashara ukiwa kazini. Na katika hiyo pesa chukua silimia 25 ndio uwnze hiuo biashara kilichobakia kiwe kipo kuangalia uimara wa hiyo biashara, na utakuwa ukiongeza mtaji...
  11. khairun

    Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, huu ni uchapakazi au kuchanganyikiwa?

    Wageni wa kiserikali wanapoingia katika nchi ngingine mwenyeji wao huwa ni meya.
  12. khairun

    Rwanda yaanza kutumia ndege zisizo na marubani

    Kama sikosei jamani, damu huwekwa kwenye jokofu kwa ajili ya kutunzwa, sasa itakapokuwa inasafirishwa angani, hili swala la joto maalumu litakuwaje, hebu tujuzane kidogo.
  13. khairun

    Kofia inayomlinda Kikwete ni Uenyekiti wa chama

    Hakuna kinga ya kutomshiktaki aliyewahi kuwa rais, ipo kinga ya kutomshitaki rais tu. Kasomeni katiba, muachieni rais wetu mstaafu bw. JK. Ametufanyia mengi mazuri na ameweka misingi mizuri ya aliyeingia kuiendeleza. Mapungufu yaliyojiyokeza kipindi chake, aliyeingia atayarekebisha ili Tusonge...
  14. khairun

    CAG akaidi agizo la Rais. Aenda Nairobi, Kenya bila kibali

    CAG hafukuzwi kazi kwa sbb kama hizo,
  15. khairun

    UKAWA kazeni buti, katiba lazima iheshimiwe!

    Wangeheshimu katiba za vyama vyao kwanza na kuzifuata, wengine wanakuwa wevyeviti wa vyama vyao kama ni mali ya mtu kumbe ni taasaisi.
  16. khairun

    Chama kipya cha siasa (Tanzania Patriotic Front, TPF) chaanzishwa

    Kuna haja pia ya kuangalia majina, huenda yakatupatia maana, kuna chama kinaitwa RPF huko jiran, na sisi tumeanzisha TPF, ni herufi za mwanzo tu ndio zinawakilsha jina la nchi, laikini hizo zingine ni kitu kilekile tu. Kazi kwetu kufuatilia kwa makini. Nitahitaji pia kuipitia katiba yao kwa undani.
  17. khairun

    Waziri awa Rais huko Tanzania akiwa bado waziri

    Magufuli hajawa rais mpaka pale atakapo apishwa rasmi.
  18. khairun

    NEC: Mshaanza kuvuruga, inakuwaje vifaa vinawekwa kwa Mkuu wa Wilaya?

    Wewe ulitaka viwekwe wapi?, hujui kuwa yeye ndio mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama katika wilaya?mbona mnapofunga ndoa bomani hamsemi yeye ni kada kwa hiyo tusiende kwake, acha mawazo mgando dogo.
  19. khairun

    TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

    Hakuna anekodi chombo cha usafiri ili kije kiue, kama unataka kulaumu chama, jua chama kilikodi chopa nne, ambazo zipo salama mpaka sasa, lkn pia uelewe huenda aliekodi ni marehemu mwenyewe, maana chopa ilikuwa na picha yake na ya mgombea urais, sasa unamlaumu aliezikodisha sikuelewi unamaanisha...
  20. khairun

    TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

    Usikariri ikilipuka itakuwa na watu ndani, inawezekana kabisa wakati inalipuka crue wakawa walisharuka wote.
Back
Top Bottom