Search results

  1. moudylimo

    Apk ya Dream League soccer 2017

    Msaada chief... Nimedownload apk pamoja na file la obb.. Ila nkifanya installation na nakaiweke obb file.. Bado linaomba kudown load tena data.... Fanya kunielekeza niweke wap obb file liwe detected na game
  2. moudylimo

    USA vs N.Korea Military Power

    Aya nakuelewesha vita. Vita ni.......................
  3. moudylimo

    USA vs N.Korea Military Power

    Una uhakika na unayonena....
  4. moudylimo

    USA vs N.Korea Military Power

    Iraq kulikua na uasi na ndo maana ikapigwa kirahisi kama ilivofanyiwa Libya walitengeneza waasi kwa ili kupunguza umoja na ndo wakampiga kiongozi bora Africa gadafi... Sasa kwa n. K ni nchi ambayo haina uasi so ni nchi yenye mshikamano ......tutaona kma mmarekani ataweza kumtoa kijasho bwana Kim...
  5. moudylimo

    USA vs N.Korea Military Power

    Iraq kulikua na uasi na ndo maana ikapigwa kirahisi kama ilivofanyiwa Libya walitengeneza waasi kwa ili kupunguza umoja na ndo wakampiga kiongozi bora Africa gadafi... Sasa kwa n. K ni nchi ambayo haina uasi so ni nchi yenye mshikamano ......tutaona kma mmarekani ataweza kumtoa kijasho bwana Kim...
  6. moudylimo

    USA vs N.Korea Military Power

    Haujaelewa vita we...... Hao n. K ndo hawana izo technics .na kwann unasema vita haitofika marekani?
  7. moudylimo

    USA vs N.Korea Military Power

    Jamaa unaonekana ni mtu wa kuangalia movies sana......... Hydrogen bomb so ni marekani pekee wanalo eti
  8. moudylimo

    USA vs N.Korea Military Power

    Nakubaliana na nyie lakini tujue wingi silaha ndio ni njia nzuri ya kuwin vita ila kama unastrategy nzuri za kutumia silaha izo kwa faida.... Marekani alikua na silaha nyingi na nzito ila hakuweza nchi kama Somalia na vetinam..... So tusubir tuone na Ana mbinu bora za kivita.
  9. moudylimo

    Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

    Znakuja ROM 4 na nimeshajaribu mbili ila zote zmegoma...natanguliza shukran
  10. moudylimo

    Natafuta Kompyuta Mpakato (Laptop)

    Asante kiongozi....ntarejesha majibu
  11. moudylimo

    Natural Attractions in Kenya and Tanzania

    Magufuli and bashite are found in tz too
  12. moudylimo

    Natafuta Kompyuta Mpakato (Laptop)

    Nimeangalia ila ckufanikiwa nlichoona ni Imei number tu
  13. moudylimo

    Je, ni nini tofauti kati ya SMG na AK-47?

    Manati na kombelo ipi ni deadly weapon kwa kuwindia kima
  14. moudylimo

    Natafuta Kompyuta Mpakato (Laptop)

    Chief...naomba unisaidie jinsi ya kupata build number ya simu ilio brick....naitaji kupakua stock ROM....simu ni tecno w4
  15. moudylimo

    Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

    Msaada....naomba kufahamu jins ya kupata build number ya simu ambayo iko bricked..nia kubwa ni j Kupata stock ROM
  16. moudylimo

    Naomba kujuzwa namna ya kuweza kupata na kutumia Whatsapp web

    Ure right bro.. Waambie waache ubashite
  17. moudylimo

    Kwanini duniani hakuna mwanamke mwenye kiualaza/upara?

    Genetically binadamu wote tuna genes zilizo sawa kwa uwiano...tofauti inakuja katka tabia ya genes husika..mfano genes za upara wote tunazo ila kwa mwanaume zinakua ni dominant genes ambazo zinaonekana kwa urahisi ila kwa mwanamke zinakua recessive genes ambazo zinakua hazina nguvu kuonesha...
Back
Top Bottom