Search results

  1. K

    Jane njoo leo nimekuja na condom mpenzi: Mambo ya house girl hayo!

    ukiyavulia maji nguo lazima uyaoge so kwakuwa unataka kukaa na housegal akusaidie kazi basi vumilia na masumbufu yake pia... kila kitu kinamaudhi na masumbufu yake so watch out!!
  2. K

    je changamoto zipi za kimaendeleo vijana wanazozipata katika taifa lao?

    ukiwa kama kijana mwenye mtazamo tofauti katika maisha yako inabidi utambue nguvu kazi yako katika kuletea maendeleo taifa lako, hii ni pamoja na kujua wajibu wako katika nafasi ulionayo kwa mfano; katika nafasi ya kazi yoyote unayoipata hakikisha unajituma na kuonyesha mchango wako wa mawazo...
  3. K

    Lawama juu ya CCM zitaisha lini?

    Tatizo watanzania tumekuwa tukiona mabaya tu ya ccm ila mazuri yake hatuyaoni, tusitupie lawama tu kwa serikali sometime inabidi na sisi tujitume. Hakuna nchi yoyote duniani inayoendelea bila wananchi kujituma, vijana walio wengi wanapenda kushinda magengeni kupiga story wakisahau kuwa nguvu...
Back
Top Bottom