Search results

  1. A

    Mwigulu Awapongeza Wamasai

    What a shame!!!!!!!
  2. A

    Udini wa kutisha UDOM!

    Kwakweli hii sijaipenda, hata kama mimi si muslim, hii naona kama ni kauli ya kichochezi, nasikiaga wanasiasa wakisema! na nadhani hii ni moja wapo! na kama wewe uliyeandika nawe si mwislim, basi utakuwa mpagani, maana katika Maandiko nayoyajua mimi, sijui wapi inakuruhusu, kumwona jirani yako...
  3. A

    Kigwangalla apinga Spika kuleta madaktari wa India Apollo, apingwa na wenzake!

    Hapa nilikuwa ninarejea yule alosema harakati ya kupinga initiative ya spika ni sawa na mtoto kumnyima babaye kupitia bar.
  4. A

    Kigwangalla apinga Spika kuleta madaktari wa India Apollo, apingwa na wenzake!

    Watu wengine wana magonjwa ya akili sijui? Wewe unashindwaje kuona logic iliyopo hapo? inamaana hulipagi kodi au? Yaani hata huna uchungu na jasho lako? au wewe nawe ndo wale wale? Ama kweli mtii huu una mizizi mikuu na matawi yamekuwa mengi!
  5. A

    Tahadhari: Hii ni hatari sana kwenye simu

    omnidirection, otios or whatever! m Mimi hapa nimejifunza kitu. Asanteni wanafizikia.
  6. A

    Saed Kubenea yuko wapi?

    kubenea ni mkombozi
Back
Top Bottom