Huwezi juwa, ile coordination ilikuwa si kitoto, unaweza kuta na yeye alisharambishwa dawa ya kuwa zombie au naye ni wale wale. Wale wote heavyweight waliokuwa karibu na Magu ambao aliwaamini kama Kijazi na Shariif Hamad waliondolewa, including godfather wake (Mkapa). Ndiyo maana nilihoji hapa...
Nimemsikiliza Mabeyo, lakini akili yangu inakataa, kwa nini mama Janeth hakuwepo Mzena wakati alikuwa Dar? Amesifia royal tour na ulazima wa kurudisha uhusiano wa kimataifa, kwani tulikuwa na uhusiano upi mbaya, zaidi ya kipigania haki ya watanzania? Hicho kicheko cha Mabeyo kinamaanisha nini...
Nyerere alinyang'anya shule na hospitali za taasisi za madhehebu yote, tena wakatoliki ndiyo walikuwa na shule nyingi, sasa wivu unatoka wapi?
Kwa Dar, Shule za serikali zilikuwa ni Azania boys na Jangwani girls tuu baadae wakajenga Kibasila (Co edu), sasa ulitaka watoto wa enzi hizo wasome...
Hajielewi huyo na ushamba wake wa siasa za kinafiki za "misaada". Hayo ndiyo mavipengele viongozi wetu wasiojielewa hukubali kusainishwa na kuidhalilisha nchi. Wanafanya hivyo hivyo hata Hollywood, mwanaume mweusi akitaka kucheza filamu lazima adhalilishwe, mfano kuvalishwa gauni.
BD is an institution (Nation Media), they should have known better to make such a mistake, I wouldn't have minded if it was misspelled by someone here, that's why I was a little petty. I don't like fast food restaurants, they make junk foods, you end up being fat and put a lot of free radical...
Seikali ingewezesha wajasiriamali hata kwa mikopo kuanzisha viwanda vya kutengeneza solar panels ili watengeneze hata paa za solar za nyumba ili kupunguza load ya umeme. Ila viwandani na kwenye grid ya taifa wangetumia vyanzo vigine.
Ukiwa na tatizo la moyo, mfano kuwa na moyo mkubwa (Cardiomegaly) au mapigo holela (arrhythmia), inaweza kukuletea excess pressure kwenye mapafu, na kusababisha irritation kwenye alveoli (air sacs) ambayo inakufanya ukohoe mara kwa mara.
I don't think you understand the meaning of the phrase, "I don't know about that". Idiomatically, it means someone is expressing doubt or skepticism of what you said.
Huyu hajui kuhusu magari. Unless gari ni mpya ndiyo imetoka kiwandani, mengine yote inabidi uangalia vigezo vingi ikiwemo mileage, condition, number of previous owners, year, service history, vehicle history (stolen, salvage, any recall, accident) n.k
Hii statement ya Nyerere kuhusu one-party state, niliisika miaka mingi ila sikuielewa sana, mpaka majuzi hapa alipokuja Trump. Sasa hivi hili neno "uniparty" linaongelewa wazi wazi kwenye social media.
Mzee alikuwa na maakili aisee.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.