Search results

  1. R

    Mheshimiwa Zitto Kabwe na taarifa za siri

    Hivi hii kuficha knowledge ni kwa faida ya nani haswa? Tazama kuanzia dakika ya 9 na sekunde 10 hii video: kweli wa Danganyika tuna safari ndefu sana.
  2. R

    CAG kaficha ripoti za TANESCO na NHC?

    Tatizo la hawa watu ni kwa sababu CAG ni mkristo safi ndio maana hawaishi kumuandama. Namfaham vizuri sa huyu mzee na familia yake na nasikitika na hizi tabia za baadhi ya members kumuandama kila msimu wa kutoa hizi reports Cha ajabu mleta mada ameamua kuwaandama wakuu waliopo Tanesco na NHC...
  3. R

    Denmark to build man-made lake in Monduli

    kwani mpaka mnafanywa vinyago mlikuwa wapi? akili mnazo mnashindwa kuzitumia?
  4. R

    Kwanini Mwalimu Nyerere aling'oa reli ya Dar-Lindi, Mtwara, Nachingwea?

    hakuishia hapo aliua KLABU ya PAN AFRICA hapo utatia akili
  5. R

    Kenya inakamata raia wa Tanzania kwenye mpango wa CIA wa Extraordinary rendition....

    nchi yenu watawala mmewachagua wenyewe sasa mnalalamika nini?
  6. R

    Kwanini Magufuli na Mwakyembe hawatoki CCM?

    huwezi jibiwa watu wanafiki sana humu
  7. R

    Maaskofu Tanzania watoa Tamko, wakemea udini, ukanda na ukabila!

    kumbe wizara ya fedha wanaweka hizi takwimu? mkuu wa idara hii ya twkwimu pale wizarani ni mkristo au muislam?
  8. R

    Lazaro Samuel Nyalandu: Ni zaidi ya waziri nimjuavyo

    TEAM LOWASSA is fighting back na inavyoonekana wamejizatiti vilivyo maana kila tuhuma iliyotolewa imeambatana na ushahidi wa maandishi toka magazeti ya Tanzania na kibaya zaidi Nyalandu hajakanusha hata moja
  9. R

    Carlyle Group/ Export Trading Group $1 billion Tanzania deal

    Sidhani kama hawa jamaa walilipa kodi for this transaction. Lakini naweza its the biggest transaction iliyofanyika in Tanzania for the last 3 years. Perhaps Kitilya anaweza kutoa majibu...
  10. R

    HISTORIA: Safari ya Anna Makinda kutoka Naibu Spika hadi Spika wa JMT

    Sasa kiutendaji kati yake na yule fisadi aliyeondoka nani zaidi?
  11. R

    Spika Anna Makinda kila kukicha safari

    Nimeona kashafunga safari nyingine huyoooooo sijui wapi huko
  12. R

    Kwa nini JK haendi nchi za Asia na Arabuni?

    ohhhh kumbe safari ipo eeeh?
  13. R

    Kwa nini JK haendi nchi za Asia na Arabuni?

    ingependeza akawa anaenda sana nchi za Asia akawatembelee South East Asia, India, China, Russia na kadhalika ili kuwepo balance of power. Si nchi imehodhiwa na nchi za west.
  14. R

    Prof. Maghembe adhulumiwa mali ya bilioni !

    Wa Pare tangu lini wakadhulumiana?
  15. R

    Spika Anna Makinda kila kukicha safari

    halafu humwoni akifanya mikutano mashuleni au warsha ndani ya nchi kuwapa wananchi ju ya somo la uraia na mengineyo ya kazi yake kwani lazima aende yeye?
  16. R

    Spika Anna Makinda kila kukicha safari

    Naona huyu atakuwa spika anayesafiri kuliko wote Africa Sijawahi kuskia anafanya open workshop ya mambo ya uraia Rufiji au Ukerewe yeye kila kukicha yuko ulaya na nchi zilizoendelea naona safari siku hizi ndio zimekuwa style ya kazi Tanzania. Kila kukicha wanasiasa wako kwenye airport lounges...
Back
Top Bottom