Search results

  1. J

    Mwalimu Mwakasege kufundisha katika semina ya Karismatiki ya Kanisa Katoliki jijini Dodoma 31/05/2022

    Mtu unapaswa kwanza kujiuliza upako ni nini? Je kuna mifano ya upako wa aina hizo mbili katika Biblia? Kama hakuna achana na hayo mafundisho. Kwa ufupi ni kuwa upako ni tendo lilotumika katka Agano la kale kwa wafalme, nabii na kuhani. Ilikuwa ni ishara ya nguvu katika huduma zao. Katika...
  2. J

    Tamko la Serikali: Hakuna fedha tasilimu ya shilingi trilioni 1.51 iliyopotea, ni madai ya wasiolitakia mema taifa letu

    Nijuavyo ukaguzi hauwezi kufanyika bla Mkaguzi kuuliza mhisika mambo ambayo yanamtatiza. Ilikuaje wasimweleze CAG kabla ya kuchapisha taarifa? Kuna kitu hapa.
  3. J

    Kamata kamata ya Kesi za uchochezi zinaendelea usiku wa manane

    Soma tena nawe unayejua kiswahili ulivyoondika "Ikiwango chako" na "ninachokia"
  4. J

    Godbless Lema: Mrisho Gambo(RC) hakuogopa kuwa muongo madhabauni eti aliniita mimi rafiki yake

    Achana na Lema. Sasa sisi tujiulize ni kweli marafiki? Tuanzie hapo.
  5. J

    Je, biblia ni copy & paste ya hadithi za kale za kipagani na sio UHALISIA?

    Hadith za kipagan na Biblia zote ni real kwa maana yà kuwepo kwake. Moja ni distorted truth na nyingine ni truth. Kumbuka tangu anguko LA Adam kumekuwa na oral narratives ambazo toka kizazi kimoja hata kingine kwa ajili ya uovu na kumkana Mungu wakapindisha ukweli. Biblia ni God's revelation...
  6. J

    Siri ya wingi wa baiskeli Tanga mjini

    Hii ni indicator ya umaskini tusijidanganye
  7. J

    Zaidi ya vyingine vyote, Vijana tujifunze Miiko ya kujadili Siasa

    Naomba moderators weka hizi kanuni kwenye sticker ziwe sheria za JF
  8. J

    Viongozi wa dini na wafanyabiashara jiepusheni na siasa zitawagharimu sana

    Siasa inahusu maisha ya watu wa aina zote ila uongozi wa siasa ni wa chache. Kutenga jamii Fulani isiguse masuala ya maisha yao ni kuweka rehani maishà yao ktk mikono isiyo salama. Makundi yote lazima yashiriki maamuzi ya nini hatma ya maisha yao.
  9. J

    CHADEMA wamlima barua Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji F. Mtungi

    Uzi umejaa bila vijana upande wa pili? Hawapo?
  10. J

    Mke wangu amejiunga na kanisa la 'kiroho' na inapelekea kutugombanisha; naomba ujanja wa kukabiliana na tatizo hili

    Sikiliza bwana nikueleze. 1. Kama ni kanisa la kweli (mostly pentecostal classics) ni nadra kujuta mkeo akijiunga nao. 2. Fanya utafiti uwajue vizuri usiseme makanisa ya kiroho. Mfano ujue wanachoamini (tenent of faith) mara nyingi iko ktk katiba zao. Angalia makanisa hayo yameneaje nchini na...
  11. J

    Ijuzeni namna nano au Micro GPS tracker zinavyokuwa inserted or planted kwenye mwili wa binadamu

    System hio itakuwa matayarisho ya serikali moja na dini moja duniani (Wengine tunaita ant-christ system).
  12. J

    Muhimu Sana: Polisi wakikosea kidogo, isitufanye tukasahau mazuri na mema yote wanayoyatenda

    Kichwa cha uzi kinasema police wakikosea... Alipopigwa risasi Lissu tulisema waliofundishwa kupiga risasi hawakosei. Leo tunasema wamekosea "How Contradiction"
Back
Top Bottom