Search results

  1. G

    Shule binafsi zapigwa marufuku kupandisha ada

    Kama mtu alisajili shule yake kwa kufata sheria na taratibu zilizowekwa na serikali ina maana huu waraka wanao na wanaujua! Nchi imefikia kila mtu au vikundi vya watu vinajiamulia tu mambo yao. Sheria ifuate mkondo wake
  2. G

    Shule binafsi zapigwa marufuku kupandisha ada

    Kinachotakiwa sasa kwenye hizi shule binafsi ukaguzi wa hesabu za fedha ufanyike kuondoa maneno maneno na malalamiko ya wamiliki na wazazi/walezi. Waangalie mishahara ya watendaji na wafanyakazi wote na kodi zao, waangalie matumizi na gharama zao mfano maji na umeme, waangalie gharama za...
  3. G

    Shule binafsi zapigwa marufuku kupandisha ada

    Elimu sio biashara!Inawezekana kabisa Tshs 150,000 ni ndogo kulingana na gharama za maisha lakini Tshs 1,500,000-3,000,000 kwa chekechea mpaka kidato cha NNE sio sahihi kamwe! Pia elewa kuwa unaposajili shule, unapojenga shule serikali inakupunguzia baadhi ya kodi( exemption) kuanzia...
  4. G

    Standard fee structure for private schools coming

    Shule ni long term service investment, huwezi kumchaji mwanafunzi primary au nursery 1.5m kwa sababu ya tamaa ya ada na kulipa investment muda mfupi! Shule inatakiwa iwe ni life time project! Walimu wa private kila siku wanahama mishahara yenyewe midogo.
  5. G

    Ya Magufuli na Dr. Tulia ni mpango wa CCM dhidi ya Lowassa

    Umesema kama watapigiwa kura?? Hehehee... Mwendo wa style ya Lubuva tu, inategemea wanataka nani ashinde sio suala la kura wala ushindani. Labda kama kura zitapigwa kwa kunyoosha vidole kama primary school
  6. G

    Ni kweli Kingunge Ngombale Mwiru ameokoka?

    Ina maana hujawahi kumuona Pombe akigonga kikombe Samunge? Imani gani ile?
  7. G

    Kura za Dr. Magufuli dhidi ya Lowassa

    CCM ina wanachama rasmi waliojiandikisha kupiga kura 14,566,000 Mwanzo mlisema mnamtaji wa wanachama milioni 5, ghafla mna wanachama mara tatu zaidi..duh! Dead end for ccm come October 25, 2015
  8. G

    Hivi huu mdahalo ulio Star TV ni kampeni au kuhamasisha amani?

    Hivi Polepole anazungumza nini?
  9. G

    UKAWA kutokuhudhuria katika misiba ya viongozi wa siasa

    You are short in mind!
  10. G

    Dr. Slaa tumekusikia na ushauri wako tutausimamia siku zote kama CHADEMA asilia

    Kwa sasa hata aje Obama na Cameroon wapande jukwaani na Magufuli hawataweza kubadilisha kitu! Mabadiliko ni kuitoa ccm
  11. G

    Dr. Slaa: Magufuli haogopi kupoteza kura kwa kukemea ufisadi na kusema atawafunga wala rushwa!

    Pressure ya uchaguzi kubwa sana, ccm hawana jinsi ni lazima watumie mbinu zote kabisa...ni ishara mbaya kwa ccm
  12. G

    Taswira ya TWAWEZA na UWEZO Kenya, Uganda na Tanzania inaenda kuingia doa na dosari kubwa

    Kutokana na vuguvugu la kisiasa kwa sasa nchini na mvuto kwa watu wa haiba zote,matokeo ya twaweza yanakuja na maswali mengi si kwa utafiti huu tu wa uchaguzi mkuu bali pia kwa tafiti zilizopita. Mimi naamini katika MUDA/WAKATI..! Mambo mengi hujidhihirisha kutokana na wakati. Hulka, jinsi...
  13. G

    CCM: Magufuli yupo tayari kwa Midahalo; tuna kila dalili ya Ushindi

    Huyu jamaa kajitoa ufahamu kama Polepole..! Hiyo ni panicky na desperate! Kwamtazamo rahisi hata kama kila siku mgombea wao atakuwa anapewa airtime ya masaa mawili kwenye Televisions zote na radio zote hakutakuwa na positive impact kwao, pengine watamtengenezea mazingira ya kuchukiwa! Wajipange...
  14. G

    CCM: Magufuli yupo tayari kwa Midahalo; tuna kila dalili ya Ushindi

    Kwa takwimu za sensa zaidi ya asilimia 60 ni vijana ambao ndio wanaotaka mabadiliko, jambo lingine kura ni siri huo utafiti wa kusema kuwa mgombea atashinda kwa asilimia 69 mmeufanya wapi na vipi? Kazi mnayo mwaka huu!
  15. G

    Hatimaye Siri ya Ziara ya Lowassa Nje ya Nchi yabainika

    Next time unatakiwa kuweka utangulizi kwenye post zako, ziite ''Riwaya", pia nakushauri uwe serious kidogo na mambo ambayo yanagusa maslahi na mustakabali wa Taifa letu. Upumbavu ni kipaji
  16. G

    Yaliyojiri Ubungo Plaza kwenye Kongamano la iliyokua Tume ya Kukusanya Maoni ya Jaji Warioba

    Hoja yako imetawaliwa na hisia zako! Kuhusu kupewa airtime Samwel Sita na Chenge, unafahamu kwa hakika kuwa wamepewa airtime ya kutosha, kuanzia ndani ya bunge maalum la katiba hadi siku ya kuikabidhi katiba pendekezwa,lahasha, Mfano Sita au Chenge wapewe airtime tena na waje na mawazo tofauti...
  17. G

    Nauza Kiwanja Morogoro- Mzumbe Village( hekari 1)

    Shakir, hati ya kumiliki ardhi hutolewa kwa viwanja au mashamba yaliyopimwa na msajili wa ardhi. Na nisehemu ndogo sana ya ardhi ya nchi yetu imepimwa rasmi, either ni viwanja vilivyotolewa na serekali au sehemu ambazo wamiliki wake wamefanya jitihada binafsi za kupima na kusajili ardhi...
  18. G

    Nauza Kiwanja Morogoro- Mzumbe Village( hekari 1)

    Eneo limeandikishwa kijiji cha mzumbe/kata ya Mzumbe- almaarufu mtaa wa oysterbay karibu na changarawe. Halina hati ya serikali kama kiwanja kilichopimwa. Sababu ya kuuza ni kuendeleza malengo mengine ambayo yako pending. Hakuna dalali na mimi ni mmiliki halali. For serious prospective buyers-...
Back
Top Bottom