Search results

  1. Mnhenwa Ndege

    The Hurricane Sounds

    Performing at East 24 Mikocheni every Friday
  2. Mnhenwa Ndege

    Kulipa Kodi ya Mwaka Mzima ni Poa au Kunaumiza?

    Gazeti la Uhuru linaendelea hivi Wanaotumia fedha za umma kulipia pongo. "licha ya kwamba za Dar es salaam na kwengineko nchini hazina hadhi ya kulinda haki ya mtu kuishi katika mazingira safi salama, si halali kisheria kwa mwenye nyumba kutoza kodi kwa kipindi zaidi ya mwezi mmoja kwa mara...
  3. Mnhenwa Ndege

    Mpangaji atupiwa Vitu Vyake Nje

    Rose akikagua vyitu vyake vilivyotupwa nje na mwenye nyumba wake Kijana huyu anakagua kama CD zote vipo. Sipati picha kama ingekuwa Kinondoni ingekuwaje, hata sisi tusingeweza kupiga picha maana pasinge kuwa na vitu Hili ndilo Kanisa lililo pangishwa, wenyewe wanajiita the Mega Church...
  4. Mnhenwa Ndege

    Miss Higher learning 2009.

    Mwanafunzi wa chuo cha IFM Beatrice Lukindo jana aliibuka mshindi wa Miss Higher Learning katika shindano lililofanyika katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam, jumla ya warembo kumi na moja walishiriki katika kinyanganyilo hicho. Beatrice Lukindo mwanafunzi wa Chuo Usimamizi wa Fedha...
  5. Mnhenwa Ndege

    Gazeti la Uwazi Lachapia

    Inasikitisha kuona gazeti kama Uwazi linachapia pale wanapotoa picha ya Randy Jackson wa American Idols kudhani kuwa ni Randy Jackson mdogo wake hayati Michael Jackson. Randy Jackson wa American Idols mara nyingi alikuwa anasema kuwa yeye ahusiani na Michael Jackson ni majina tu yamefanana, pia...
  6. Mnhenwa Ndege

    Nyumba Inapangishwa

    Moja ya mansion (hii ya kulia) hapa linapangishwa ni full furnished house (furniture babkubwa), swimming pool, air conditioned, ample parking space kama unavyoona and an automatic stand by generator. Nyumba ipo maeneo ya Mikocheni. Kodi kwa mwezi ni $ 4,500 (annual payment inadvance). Kwa...
  7. Mnhenwa Ndege

    Madansa wa Akudo Sound

    Juzi wazee wa masauti walipiga burudani ya kufa mtu huko Ukonga Banana katika ukumbi wa "Wenge Garden Hall". Mcheza shoo wa Akudo akijituma vilivyo ili akonge nyoyo za mashabiki wake. Ilibidi shabiki mmoja kwakukunwa na mcheza shoo huyu amtuze ipasavyo. Kwa picha zaidi nenda; Pwani...
  8. Mnhenwa Ndege

    Malipo ya cheki zaidi ya milioni kumi kufikia kikomo leo

    Jamani kuanzi tarehe moja mwezi ujao, mtu yeyote yule ambaye atataka kumlipa mwenzake kiasi cha fedha cha zaidi ya milioni kumi (10,000,000) kwa kutumia cheki ya benki moja ili mlipwaji a-depositi benki nyengine (benki yake), haitawezekana tena. Mfano mwengine ni huu; Yani kama unamdai mtu...
Back
Top Bottom